Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Dear live your life first ndoa ni mpango wa Mungu ukifika huna pa kukwepa ,ndoa ni sacrifice though tunachukulia poa poa tu!ndo maana ndoa nyingi siku hizi chalii!.watu wanavaa shela ila hawaishi kindoa..Nakuombea uolewe na mume sahihi
Amiin ahsante dear😍
 
Kuolewa ni muhimu kwa kila mwanamke na ni lazima....Ila kwa wanawake wapuuzi wanaona Kama ni upuuzi.

Kwanza mwanamke kuzalia ndani ya ndoa ni heshima kwake na kwa watoto wake...Ila akili ya mwanamke ilio data na udangaji kutokana na mchanganyiko wa spem za kiume mwilini mwake hawezi ona hili. Kuna utofauti mkubwa Sana Kati ya watoto wa single maza na watoto walio lelewa ndani ya ndoa.

Kuna faida za kuwahi kuolewa Kama vile majukumu ya ulezi utayamaliza mapema Sana na ukiwa na nguvu. Mtoto ukimzalia kwenye 20s unakuja kufika miaka 50 mtoto ndio anamalizana na degree yake ya kwanza kama atawahi Basi masters....Sasa wewe unae kuja kuanza uzazi ukiwa na miaaka 40 yaani unafika 60 mwanao ndio bado yupo secondary Sasa hapo faida yake nini.....? Ukiwa na maspern ya wanaume yamejaza kichwa chako utaona hili ni sawa na kujifariji.

Zaa mapema na uzalie ndani ya ndoa ili ukifika miaka ya 60 ni muda wa kucheka na kufurahia wajukuu na sio muda wa kununua penseli za wanao.

Fuateni utaratibu wa ndoa na Sheria zake kwa faida yenu huo ujinga mnao utengeneza wa kuja kusumbuka na maradhi ya uzeeni huku bado mnalipa ada ni upumbavu ...mtakufa muache watoto bado wakiwa wanawahitaji.acheni kukatili future za watoto wenu kwa kuendekeza upuuzi wa kumwaga na kumwagiwa shahawa.

Wahini kuoana kwa heshima na ustawi wa watoto wenu.
 
Ila unavopenda mbususu hivo , mbususu moja itakutosha kweli😂, sitotaka uchepuke kabisa
Wee usiwe na presha mie nitakuheshimu yaani ata nikichepuka hutajua kabisaaa. Na ata ukienda kwa mwanaume mwengine nae atachepuka tuu.
Cha muhimu upande wako uwe wataka kuwa mke sio tuu unataka harusi na ujifunze kabisa ile style ya msomali kafia kwenye fiat🤣🤣🤣🤣🤣
 
Watu hawatakiwi kuoa au kuolewa sababu ya umri jamani, watu wanatakiwa kuoa au kuolewa sababu wamepata wenza wakuwatosheleza na kuwakamilisha

Miaka 30 sio tatizo financial services
 
Thank you, ntazingatia kupata mtu sahihi
 
Sitaki ndoa yako baba, style ya fiat tena😂
 
Watu hawatakiwi kuoa au kuolewa sababu ya umri jamani, watu wanatakiwa kuoa au kuolewa sababu wamepata wenza wakuwatosheleza na kuwakamilisha

Miaka 30 sio tatizo financial services
Thank you dear Mama D, ila huku mitaani tunatishana tu
 
Sitaki ndoa yako baba, style ya fiat tena😂
🤣🤣🤣🤣Wewe miaka inasonga. Hiyo cpa mpaka ukaitoe umalize unaze phd sii utakuwa na buibui huko kwa mbususu.
Unatakiwa ukiwa unaenda kuwachukuwa watoto shule na range rover matoto mengine yawe yanasema she is a milf.
 
Thank you dear Mama D, ila huku mitaani tunatishana tu
Sio mnatishana tuu ..mnaambiwa ukweli.
Wee maisha gani hayo mwanamke una 30plus bado wee ni kugegedwa bila ndoa? Mtoto utazaa na miaka mingapi? Mwishoe mshindwe ata kucheza na watoto which is not fair on them kids
 
Thank you dear Mama D, ila huku mitaani tunatishana tu

Usiwajali hao wanaokutisha maana ya kwao ni magumu zaidi.

Usiuvae mkenge kusikiliza maoni ya watu kuhusu maisha yako binafsi wakati wanachokuambia ukifanye wewe kwao nanga inapaa
 
Sio mnatishana tuu ..mnaambiwa ukweli.
Wee maisha gani hayo mwanamke una 30plus bado wee ni kugegedwa bila ndoa? Mtoto utazaa na miaka mingapi? Mwishoe mshindwe ata kucheza na watoto which is not fair on them kids

Acha kukariri maisha na pia usilazimishe mipango ya maisha yako wewe iwe ya mwingine

Sio lazima kila mtu aolewe au azae
Sio lazima kila mtu aolewe akiwa 20s 30s
Sio lazima kila mtu awe na watoto na sio kila anayezaa akiwa 30plus hawezi kucheza na watoto

Ndoa, watoto, mali, mafanikio ni majaliwa na mipango binafsi ya mtu

Kuna watu walazimisha kuoana au kuishi wanaishi kuuana
Kuna couples wanapata watoto wanawatelekeza ili wale bata
Kuna couples wanaoana lakini sio kwaajili ya kuzaa sababu hawajajaliwa au sababu hawajapendezwa
 
Hamna mtu anayemlazimisha mwenzie hapa. Ila tatizo ni moja ni wanawake/ wanaume wachache sana wanaweza kuishi bila mke au mume mpka 35 na wasishirikii ngono.
Haya yakifika huku mpka 30 nikutokna na society kuchukulia poa watu kugegedana kabla ya ndoa
 
Siwezi kumsemea mtu hilo la kugegedwa sababu sijui mipango na maisha yake
Kila mtu achague mwenyewe njia anayoiweza na inayompendeza yeye na imani yake
 
Siwezi kumsemea mtu hilo la kugegedwa sababu sijui mipango na maisha yake
Kila mtu achague mwenyewe njia anayoiweza na inayompendeza yeye na imani yake
Unapindisha maneno tuu ila ukweli ni huo niliousema
 
Mkifika umri huo hamjui mnataka nini, mkikuta pm huko mnaleta masharti kama ya mganga wa kienyeji wakati mmeshakua magazeti ya jioni, kiufupi muache machaguo na kama na wewe ushafika huko jifunze kutokaza komwe au laah utaliwa na kubwagwa
Mmh ok, ahsante kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…