financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
- Thread starter
- #381
SitakišHappy Valentine's Day[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SitakišHappy Valentine's Day[emoji23]
Amiin ahsante dearšDear live your life first ndoa ni mpango wa Mungu ukifika huna pa kukwepa ,ndoa ni sacrifice though tunachukulia poa poa tu!ndo maana ndoa nyingi siku hizi chalii!.watu wanavaa shela ila hawaishi kindoa..Nakuombea uolewe na mume sahihi
Ahsante nakasubiri ka gazeti hapa kwa shaukušMy byuriful lil sis; sorry nimechelewa kuona mention yako. How are you swts?
Aisee ngoja nitafute muda nimuandikie kagazeti kake FS
Ila unavopenda mbususu hivo , mbususu moja itakutosha kweliš, sitotaka uchepuke kabisaKwa jibu hili....hiyo cpa nitakulipia mpaka phd. Wee njoo nikuwowe tufyatue watoto wawili inatosha uendelee na kudevelope career yako.
Wee usiwe na presha mie nitakuheshimu yaani ata nikichepuka hutajua kabisaaa. Na ata ukienda kwa mwanaume mwengine nae atachepuka tuu.Ila unavopenda mbususu hivo , mbususu moja itakutosha kweliš, sitotaka uchepuke kabisa
Hello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona? Maisha yanaendaje? Ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekuwa na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikuwa nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekuwa huyo aunt pia aahš.
Karibuni na muwe na Jumapili njema...
Thank you, ntazingatia kupata mtu sahihiHuu uzi usikufanye ukakimbilia kuolewa na mtu ilimradi utakuja kujuta.Nina cousins aliolewa haikupita hata miaka mitatu akaachana na jamaa.Aliolewa na jamaa sababu ya kuchoka kukaa home. Jamaa alikuwa na hela na pia alikuwa na dharau,umalaya na pamoja na kumnyanyasa sister kwenye ndoa.Sister alivumilia,baada ya Magu kuingia madarakani biashara za jamaa zikafa pamoja na kufilisika sister akampiga chini now kila mtu kashika zake.Usiolewe kwa sababu umri umeenda olewa na mtu sahihi.
Sitaki ndoa yako baba, style ya fiat tenašWee usiwe na presha mie nitakuheshimu yaani ata nikichepuka hutajua kabisaaa. Na ata ukienda kwa mwanaume mwengine nae atachepuka tuu.
Cha muhimu upande wako uwe wataka kuwa mke sio tuu unataka harusi na ujifunze kabisa ile style ya msomali kafia kwenye fiatš¤£š¤£š¤£š¤£š¤£
Thank you dear Mama D, ila huku mitaani tunatishana tuWatu hawatakiwi kuoa au kuolewa sababu ya umri jamani, watu wanatakiwa kuoa au kuolewa sababu wamepata wenza wakuwatosheleza na kuwakamilisha
Miaka 30 sio tatizo financial services
š¤£š¤£š¤£š¤£Wewe miaka inasonga. Hiyo cpa mpaka ukaitoe umalize unaze phd sii utakuwa na buibui huko kwa mbususu.Sitaki ndoa yako baba, style ya fiat tenaš
Sio mnatishana tuu ..mnaambiwa ukweli.Thank you dear Mama D, ila huku mitaani tunatishana tu
Thank you dear Mama D, ila huku mitaani tunatishana tu
Sio mnatishana tuu ..mnaambiwa ukweli.
Wee maisha gani hayo mwanamke una 30plus bado wee ni kugegedwa bila ndoa? Mtoto utazaa na miaka mingapi? Mwishoe mshindwe ata kucheza na watoto which is not fair on them kids
Hamna mtu anayemlazimisha mwenzie hapa. Ila tatizo ni moja ni wanawake/ wanaume wachache sana wanaweza kuishi bila mke au mume mpka 35 na wasishirikii ngono.Acha kukariri maisha na pia usilazimishe mipango ya maisha yako wewe iwe ya mwingine
Sio lazima kila mtu aolewe au azae
Sio lazima kila mtu aolewe akiwa 20s 30s
Sio lazima kila mtu awe na watoto na sio kila anayezaa akiwa 30plus hawezi kucheza na watoto
Ndoa, watoto, mali, mafanikio ni majaliwa na mipango binafsi ya mtu
Kuna watu walazimisha kuoana au kuishi wanaishi kuuana
Kuna couples wanapata watoto wanawatelekeza ili wale bata
Kuna couples wanaoana lakini sio kwaajili ya kuzaa sababu hawajajaliwa au sababu hawajapendezwa
Hamna mtu anayemlazimisha mwenzie hapa. Ila tatizo ni moja ni wanawake/ wanaume wachache sana wanaweza kuishi bila mke au mume mpka 35 na wasishirikii ngono.
Haya yakifika huku mpka 30 nikutokna na society kuchukulia poa watu kugegedana kabla ya ndoa
Unapindisha maneno tuu ila ukweli ni huo niliousemaSiwezi kumsemea mtu hilo la kugegedwa sababu sijui mipango na maisha yake
Kila mtu achague mwenyewe njia anayoiweza na inayompendeza yeye na imani yake
Ahsante, ntajitahidi nisomešfinancial services a.k.a CPA(T) Ukipata muda msome huyu dada katika kitabu chake
View attachment 2119290
View attachment 2119291
Mmh ok, ahsante kwa ushauriMkifika umri huo hamjui mnataka nini, mkikuta pm huko mnaleta masharti kama ya mganga wa kienyeji wakati mmeshakua magazeti ya jioni, kiufupi muache machaguo na kama na wewe ushafika huko jifunze kutokaza komwe au laah utaliwa na kubwagwa
Mpe madini nakuaminia binaMy byuriful lil sis; sorry nimechelewa kuona mention yako. How are you swts?
Aisee ngoja nitafute muda nimuandikie kagazeti kake FS