Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Umri sio kitu.
Unaweza kuolewa niaka 24 ukachelewa kupata mtoto.
Unaweza kuolewa miaka 45 ukapata watoto mapema ukaishi miaka mingi ya neema.
Unaweza kuolewa miaka 20 ukapata watoto na ukaishi miaka michache duniani.

Yote ni mipango ya Mungu haijalishi unaolewa au kuoa ukiwa na umri gani kusudi la Mungu litatimia tu juu yako.
 
Jamvi la wageni kila siku halikosi wageni.

Dada yangu alishaolewa long time.
Ukamtatulie na matatizo yake ya ndoa basi maana una kiherehere na maisha ya watu kama vile umeolewa. Mwanaume wa hovyo. Huruma kwa aliyeolewa na wewe[emoji706] punguza kushinda vibarazani ma dada zako

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Amiin ahsante dear[emoji7]
Yaap olewa sio kwa kua Fulani ameolewa au umri umeenda hapana utajuta sana
Ndoa ni wawili ,mume ni kiongozi ,mama ni msaidizi.
Olewa na rafiki yako"marry your best friend!"utainjoi mnooo!!!
Usiolewe kufurahisha watu au wazazi,olewa kwa kua umepata mwenza sahihi!partner, a should to cry on!a friend and very best friend
Usitamani ndoa na usijiskie vibaya kwa kua hujaolewa mpk Leo ,kawaida sanaa!Siku yako bado..tafuta mwanaume atakaekua kichwa
Kingine hakuna usawa kwenye ndoa,muache mwanaume abebe majukumu yake msaidie panapobidi,hata kama mshahara wako unamzidi 100*jua kua mume ni kichwa na wewe ni moyo!
I swear utainjoi sana muhimu wanadamu tuna mapungufu hatujakamilika Yale madogo yapuuze!angali wema wake kwako na ubaya ndipo upime kama ni mwenza sahihi au sio sahihi kwako..mwanaume mpigaji sikushauri akuoe dear utapata taabu
Mjenge mwanaume akufahamu mapema sana tabia zako ili asikushangae baadae!
Usivumile manyanyaso ktk mapenzi utasuffer consequences!

BTW happy Valentine and I love you[emoji7]
 
Thank you so much , hujui tu ulivonifariji sana, ubarikiwe😍😍
 
Unapindisha maneno tuu ila ukweli ni huo niliousema

Ukweli wa maisha yako sio ukweli wa maisha ya kila mtu

Ndoa au kazi au mali au watoto au mafanikio mengine aliyo nayo mtu sio lazima na wewe uwe nayo ndio uwe umepatia. Kwa hiyo Sio vibaya ukajifunza kuheshimu uhuru na hisia za watu wengine

Inawezekana kabisa wewe ukawa na ndoa au watoto lakini ukakosa kingine
Mwingine akawa na mafanikio makubwa akawa na ndoa na asiwe na mtoto

Maisha ndivyo yalivyo
 
Nafikiria tu haka kamanzi kangu kana 20 yrs, navyo kapelekea moto hadi kaje kafikishe 30 sijui katakuwa na hali gani. Kiufupi 30 yrs kwa mwanamke hiyo ni taa nyekundu.

Japo kila mtu na bahati yake mungu alivyompangia
 
financial service! mi nilishatangazaga ndoa umu jf natafuta mke hatmaye we ndio ukawa wa kwanza kabisa kunipinga, sasa leo hii umeona unaanza kuweweseka? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila nafas bado ipo ...... ukihis unataka kufa na pressure sababu ya 30+ years usione soooooo we ni P.M tu mi nitakuondolea iyo pressure yako sawa [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]?
 
Ok sawa
 
Watu hawatakiwi kuoa au kuolewa sababu ya umri jamani, watu wanatakiwa kuoa au kuolewa sababu wamepata wenza wakuwatosheleza na kuwakamilisha

Miaka 30 sio tatizo financial services
Nakukubali sana mama [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
Mama hata sijui nikupe nn, unajua kunifurahisha mno, [emoji7][emoji7][emoji7]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mlongo hii comment, mnara wako uwekwe wapi? [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
Nafikiria tu haka kamanzi kangu kana 20 yrs, navyo kapelekea moto hadi kaje kafikishe 30 sijui katakuwa na hali gani. Kiufupi 30 yrs kwa mwanamke hiyo ni taa nyekundu.

Japo kila mtu na bahati yake Mungu alivyompangia
Sasa kama huna mpango wa kumuoa, ni kheri umuache akutane na soulmate wake, huoni unafanya uhaini? Khaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…