Meljons
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 3,105
- 1,406
Umri sio kitu.
Unaweza kuolewa niaka 24 ukachelewa kupata mtoto.
Unaweza kuolewa miaka 45 ukapata watoto mapema ukaishi miaka mingi ya neema.
Unaweza kuolewa miaka 20 ukapata watoto na ukaishi miaka michache duniani.
Yote ni mipango ya Mungu haijalishi unaolewa au kuoa ukiwa na umri gani kusudi la Mungu litatimia tu juu yako.