Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Mi nadhani uchumi tu ndio unaleta hizi mambo kizazi hiki. Imagine mtu ana masters na hana kazi, hiyo familia anailisha nn?? Mwishowe ndo hivo over 30's mbka 40's wapo home kwa wazazi na wajukuu kama wte....umri namba tu, mapenzi popote sema ndo hivo apeche alolo hata nauli sina😃
 
Mwanangu umeupiga mwingi ile kinyamaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mjadala uishie hapa
Asante reymage
 
45 utakua mstafu mimba za umri huo zinaweza kuondoka na uhai wako
 
Ndoa kwa mwanamke ni heshima sema wanawake wa siku hizi wanajitoa ufahamu tu ila mda ukiyoyoma utasikia yeyote atakae kuja kikubwa pumzi tu.
 
Oya, toka uzaliwe leo umeongea pointi, kunywa fanta big hapo kwa mangi. 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…