Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Ujinga wa mwanaume ndio unasababisha mahusiano yaendelee
Try to see a composite picture in other way,
Kwa akili yako hiyo bas utakuwa maana yake ujanja wa wanaume ndo unasababisha wanapewa mzigo na hawaio.
Yaani masingo maza na wanawake wanaotamani ndo wamejitakia?
 
Tunapewa mzigo kama una hela kama huna hela mwanamke hakupi mbususu
 
Ndoa za utotoni sio za kupigia chapuo, nashangaa wanaonanga wanawake wenye 30 ambao hawajaolewa, ila ndo anakuwa na uelewa mpana na uwezo wa kuhimili mikiki ya ndoa, ataiheshimu na kuithamini ndoa,,

Mimi niliolewa nikiwa 17, baada ya miaka 11 nikatoka, uelewa wa maisha kwa ujumla sikuwa natambua chochote thamani ya ndoa sikuijua, niliona kuna stage nimevukishwa kwa lazima tu,, walioniozesha walinionea sana, mi naona 26-36 ni umri poa walau akili ya mtu inaweza kuchanganua mambo
 
Kama huna mpango wa kuzaa ni umri sahihi, lakini kama una mpango kwa kuwa na watoto basi umri sahihi ni 24 hadi 26 hapo...
 
Itoshe kusema mapenz yake Mungu na yatimie, huwez lazmsha maj kupanda mlima.

Kila kitu kinavyotokea jua n wakat sahihi, nliosoma nao aslimia 60 wameolewa na aslimia 80 wana watoto zaid ya mmoja. Lkn hainpi kulazmisha mambo, wakat wa Mungu ukifka bas mapenz yake yatatimia.

Kuna wmbo wanaimba " uskimbilie mume ukaukondesha moyo......." sjui kauimba nan.....🤣🤣🤣🤣
 
Tatizo yenu je mpaka hiyo miaka 30-33 mtakuwa mmebana tuu miguu au ndio msuriri wa ma ex....au napo mtasingizia kuwa ni mipango ya mungu mwanamke/ mwanaume kuendelea na uzinzi mpaka pale anaopo olewa/ kuoa
 
Hapo ktk kujitunza skutaka kuliongelea saana maana sngependa kupopolewa na wanadamu wa jf, lkn kila mtu afanye aonalo sahihi.

Na pia kwa upande wangu hiyo n sri yangu.......😊

Ukijitunza bas utapata kitu bora zaid yangu n hayo 🤓
 
🤣🤣🤣🤣 Na hap ndio shida inapoanza...mambo yakibuma ndio tunaanza story za mipango ya mungu.
Kujitumza tuwe wakweli asilimia kunwa hatuwezi.
 
🤣🤣🤣🤣 Na hap ndio shida inapoanza...mambo yakibuma ndio tunaanza story za mipango ya mungu.
Kujitumza tuwe wakweli asilimia kunwa hatuwezi.

Hata kama kujitunza weng hawawez, haifany kutokuwepo kw wanaoweza hata kama n 2% kati ya 100%. Yapasa pia uwepo wao utambulikane na uheshimiwe pia 😊

"Kama ukitenda vyema, utakosaje kibali!?"......
 
Hata kama kujitunza weng hawawez, haifany kutokuwepo kw wanaoweza hata kama n 2% kati ya 100%. Yapasa pia uwepo wao utambulikane na uheshimiwe pia 😊

"Kama ukitenda vyema, utakosaje kibali!?"......
Ndio lazima tuwatambue...sema sasa jamii ya sasa wazinzi ndio wanapewa sifa kweli kweeli.....mwanamke utaolewaje bila kuonja, je kama jamaa jogoo hawiki ndio swagger za warembo
 
Ndio lazima tuwatambue...sema sasa jamii ya sasa wazinzi ndio wanapewa sifa kweli kweeli.....mwanamke utaolewaje bila kuonja, je kama jamaa jogoo hawiki ndio swagger za warembo
Na pia uzinz unaongelewa sana, na ndyo mana unazd kukuzwa. Wajua kitu chochote ukikipa kipaumbele ndvyo kinazd kukua, na ndyo maana ndoa za sasa zmekuwa hazdumu na hata zkidumu n kwa taabu na mahangaiko.

Watu wemekosa uaminifu, watu wameoa na kuolewa lkn wanaendelea na mahusiano yao ya awali wakisema wanapasha vporo aseee!

Safar n ndefu, na hapo hapo mtu anamuomba Mungu ampe mtu mwema anasahau kuwa unapewa wa kufanana na ww.
 
Kweli usemayo. Wee kama ni mgegehedaje basi tafuta mwanamke mgegedwanji ndio mtaendana sio tena eti wataka bikra
 
Kweli usemayo. Wee kama ni mgegehedaje basi tafuta mwanamke mgegedwanji ndio mtaendana sio tena eti wataka bikra

N kweli, tunapata tunachostahili na s vngnevyo. Ingawa wahun wanapenda kweli kupata aliyetulia, 🤣🤣🤣sijui huwa wanawaza nn......
 
N kweli, tunapata tunachostahili na s vngnevyo. Ingawa wahun wanapenda kweli kupata aliyetulia, 🤣🤣🤣sijui huwa wanawaza nn......
Sii wanajua jinsi wanavyowakunja warbo sasa anawaza kuwa nae demu wake atakuwa anakunjwa mikao hiyo🤣🤣🤣🤣
 
Sii wanajua jinsi wanavyowakunja warbo sasa anawaza kuwa nae demu wake atakuwa anakunjwa mikao hiyo🤣🤣🤣🤣
Kwa kpimo kile kile unachowatendea wengine, nawe utatendewa vivyo hivyo na kuzd.

Maisha hayaa 🤣🤣🤣🤣
 
Mi mwenyewe mwishoni nilitoka.
Nafkr tu hata ambao hawakutoka(anbao walioolewa huo umri wetu mi nakwambia basi tu ila lazima tu wanatamani)

Kuna namna by the time unapaswa uinjoi your youth we uko busy na kuhangaika na kuwa mkamwana mwema.
Wooooih
 
Sasa huo upande mmoja...upande mwengine je tunakubali kuwa na jamii ambayo watu wanagegedana tuu mpaka wakafike hiyo miaka 30? Madhara yake ndani ya ndoa tutakubalina nayo?
Ila kweli
 
Unyakyusa Tena😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…