Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Unaogopa kuwatia aibu waliokuozesha kumbe msoto unakula peke yako,Mi mwenyewe mwishoni nilitoka.
Nafkr tu hata ambao hawakutoka(anbao walioolewa huo umri wetu mi nakwambia basi tu ila lazima tu wanatamani)
Kuna namna by the time unapaswa uinjoi your youth we uko busy na kuhangaika na kuwa mkamwana mwema.
Wooooih