BravoZulu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2021
- 1,824
- 3,747
Japo mimi bado mdogo ila Kwa maoni yangu ni kwamba vijana wengi katika 20s huishi kufantasize watakavyoishi maisha ya ndoto zao swala ambalo kwa upande mwingine hupoteza mda na kuja kushtuka wakiwa 30s.. ndio maana jinsia KE wengi katika 20s zao huwa wanabagua kutokana na standard zao zinazozunguka vichwani mwao katika umri husika,kuja kustuka matokeo yake ndo yale ya "nahitaji mwanaume yoyote"