Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Japo mimi bado mdogo ila Kwa maoni yangu ni kwamba vijana wengi katika 20s huishi kufantasize watakavyoishi maisha ya ndoto zao swala ambalo kwa upande mwingine hupoteza mda na kuja kushtuka wakiwa 30s.. ndio maana jinsia KE wengi katika 20s zao huwa wanabagua kutokana na standard zao zinazozunguka vichwani mwao katika umri husika,kuja kustuka matokeo yake ndo yale ya "nahitaji mwanaume yoyote"
 
Inawezekana ni kweli ila pia huwezi kuoa au kuolewa na mtu yeyote tu, kumbuka ni kifungo cha maisha kile, lazima awe na sifa fulani unazopendezwa nazo japo si 100%, na nna hakika hata wewe ukiwa mkubwa hutooa tu ili mradi, lazima utachagua aina fulani labda anayejali, mtafutaji nk..
 
Ndio,japo sasa uhalisia kama ulivosema standard hazitofikiwa 100% kwahiyo inabidi unazichukua standard hizo alafu unazistandardize tena hapo sasa unakuwa unapunguza michakato ya ajabu
 
Tatizo wapigaji ndo mnao wapa tunda bila kujua unampa mzigo mtu ambaye anapiga tu halafu imeisha iyo au mbaya zaidi anakufanya mchepuko,

waoaji wanakuwaga na midomo mizito nadhani umeshawapiga chini wengi bila kujua unapiga teke ndoa.
Ok ila ntawagunduaje hao wazito midomo au wapigaji? , nini kifanyike?
 
financial services hebu nikupe uzoefu wangu kwa upande wa kinyume chake.

Mimi niliolewa na miaka 21.
Nikimtizama binti yangu mwenye miaka 22 leo.
Siamini kuwa niliruhusiwa kuolewa nikiwa nina mwaka mmoja chini yake.
Najiuliza kwann wazazi hawakunikatalia ile posa?
Nakuja kuhitimisha wangekuwa ni wazazi wangu kabisa baba na mama yangu wangenigomea.
Nafkiri walioniozesha waliona ni nafuu niende.

Ipo tafsiri kubwa sana ya miaka 30 na kuendelea.
Ukiniuliza mimi, nafkiri miaka 30 ndo miaka sahihi ya binti kuolewa.
Mi nilikuja kuelewa maana ya ndoa nikiwa nimeshakaa miaka zaidi ya 8 kama sio 10 kabisa.

I was too young to marry, we were both too young.
21 kwa 23.
Jamani!!
By 35 tumeshaoneshana kila rangi!!
Mxxxxxxxiiiieeee.
Hihiiii. Mliinjoy ujana kwa mapana yake.
 
Aisee .....haiwezekani. iliyotumika imetumika tuu tusijidanganye. Wee sema tuu tuendeleze uzinzi
Ukisha kula tunda vitu viwili vinaweza kutokea, kuendelea na mahusiano au mahusiano kuishia hapo.

Inaonekana hujui sababu ya mojawapo kati ya hayo mawili kutokea baada ya mwanamke kuliwa tunda.

Mwanamke alie tumika Sana anaachwa baada ya kugongwa pia hata ambaye hajatumika Sana anaachwa baada ya kugongwa,

Labda wewe unafikili Ni kitu gani kinasababisha mahusiano yaendelee?
 
Ujinga wa mwanaume ndio unasababisha mahusiano yaendelee
 
Back
Top Bottom