Hahahaha! Aunt apunguze mapozi ya ovyo ovyo kwa wanaume! Atazeekea kwa baba.Aunt kwisha habari yako..[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha! Aunt apunguze mapozi ya ovyo ovyo kwa wanaume! Atazeekea kwa baba.Aunt kwisha habari yako..[emoji23]
Wahenga walisema.Subira yavuta heri.
Kutegemeana kupo lakini sio kutegemea au kutegemewa hilo ndo nalipinga. Ndoa nyingi zinakufa kwa sababu ya mitazamo kuwa tofauti. Mwanamke anategemea mume awe kama baba yake na Mwanaume anategemea mke awe partner (i.e mpambanaji mwenza ) kwenye kutafuta maisha. Mwanamke kumtegemea mwanaume ilikuwepo zamani na ilifanya kazi, kwa sababu wanawake wa kipindi waliweza ku compromise baadhi ya vitu. Waliweza kuwa wavumilivu na kumtukuza mwanaume. Kwa hio pointi ni kwamba kama mwanamke anataka kupewa Kila kitu atoboe kupitia ndoa inabidi ajishushe hamna namna. Ila kama anataka kuenjoy ndoa apate mwanaume ambaye watagrow together.Huo ni mtazamo wako hauwezi ukawa mtazamo wa watu wote.
We are interdependence to each other huwezi ku-declare humtegemei mtu
yeyote utakuwa unadanganya unless wewe uwe motivational speaker.
Hapo kufanya kazi kwa bidii wazingatie Sana.Hapana hizo ni hulka na mawazo ya kibinadamu,jambo la kuolewa halina mda wala ukomo wa umri.
Mimi binafsi nimeshuhudia ndoa nyingi sana ambazo wanawake wameolewa wakiwa above 35.
Mambo ya msingi za kuzingatia ili kutengeneza njia ya kuolewa
-Kujipenda kwa kuvaa vizuri na kuwa na muonekano mzuri sisemi ujichubue,oga vizuri kila sehemu ya mwili vizuri,paka mafuta au losheni ambayo itang'arisha mwili na siyo kukuharibu,tumia perfume yenye harufu nzuri na siyo ya kukera watu na kujitunza vizuri usigawe mwili kwa kila mtu siyo karanga hizo.Msubiri mumeo aje afungue vitu vipya kwenye box usije ukawa na kutu.[emoji177]
-kuwa na mwenendo na tabia njema uwapo kwenye jamii,kazini,kanisani au sehemu yoyote
-Kula chakula bora kwa kuzingatia afya yako
-kufanya mazoezi yatakayokuweka fit kiakili na kimwili.
-kuhudhuria kwenye ibada mbalimbali,seminar,Mikutano,sherehe na kwenye shughuli za kijamii kama misiba na shughuli za maendelea.
-Fanya kazi kwa bidii hakuna mwanaume anayempenda mwanamke mvivu,akimpenda basi anataka kumtumia
tu.
-Njia nyingne muhimu sana itakayokuhakikishia kumpata umpendae naye akupendaye ni kusali kwa imani kwa Mwenyezi Mungu bila kukata tamaa.Nakuhakikishia utapata unachositahiri kupata.[emoji120][emoji120]
Hizi ni njia anazoweza kutumia hata mwanaume kupata mke sahihi....
NAPENDA KUWATAKIA VALENTINE DAY,,[emoji312][emoji312][emoji3531]KWA WAPENZI,WANANDOA, FAMILIA,JAMAA NA MARAFIKI WOTE
UPENDO UDUMU KATIKA KATI YETU NA WATU WOTE[emoji123][emoji177][emoji322][emoji322]
Nifollow kupitia
petermarco65@gmail.com
Kweli kabisa hasa namba 9.Wanawake above 30y hua wanamatatizo mengi. Nitakutajia 0.001% ya hilo lundo la matatizo yao
1. Uzazi unakua wa manati
2. Shahawa na manii zinapotea njia na mimba zinatunga popote pale
3. Wanqzaa watoto wenye mapungufu
4. Wanakua washabomolewa na njembaz sana
5. Wako waluwalu hawanautaratibu
6. Nyapu zimekomaa hata harufu yake sio ile tunayoipendaga
7. Maumbile yanachoka hata mvuto wa mapenzi unakua chini
8. Hata wao hawapati utamu vizuri (sugua utakavyosugua)
9. Hawatumwi
Source: Shemeji yenu
Ulintunguluuu firstborn ugweAisee une ndipo "first born" ngali pakwegha...[emoji38][emoji38]
Thank you for the advice, ila mimi niko simple wala sihitaji mambo makubwaa, mkaka tu wa kawaida ila yes awe anajali, napenda kudeka siyo sana lkn😂😂Aunt financial services usikute unahitaji mume ambae haexist, tajiri, mzuri, mwenye majumba magari, mwenye nguvu za Simba, anaekupenda sana anajali sana na mengi ya kwenye tamthilia....punguza matarajio makubwa tule ubwabwa.
halafuuu umri una matter jitahidi kabla ya 30 uwe umeishikilia future japo kuolewa sio lazima pia sio kila mtu anataka.
Mbona sifa zangu hizo.Thank you for the advice, ila mimi niko simple wala sihitaji mambo makubwaa, mkaka tu wa kawaida ila yes awe anajali, napenda kudeka siyo sana lkn[emoji23][emoji23]
Unapenda mtu mwenye sifa hizo za kudeka?😛Mbona sifa zangu hizo.
YesUnapenda mtu mwenye sifa hizo za kudeka?[emoji14]
Basi mume ushapatikana🤔
Ulintunguluuu firstborn ugwe
Naloli , nkamu...Ulintunguluuu firstborn ugwe
Eti umekuwa huyo Auntie pia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona? Maisha yanaendaje? Ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekuwa na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikuwa nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekuwa huyo aunt pia aah[emoji23].
Karibuni na muwe na Jumapili njema...
Chizi wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aunt kwisha habari yako..[emoji23]
HakikaMimi nina maoni tofauti kidogo.
Kwa nini tunaipa ndoa uzito mkubwa ambao haistahili. Kwani maisha bila ndoa hayawezekani?
Unamkuta dada wa watu mzuri tu na tabia yake safi lakini analiwa ovyo na wanaume wasioeleweka na wasiompenda kisa kutafuta ndoa. Tena wengine shida yao ni kuvaa shela tu awakoge kina Mwajuma Nchokonoe kwenye vijiwe vya umbea vya kisasa vya instagram na whatsapp.
Ladies you can make your life beautiful even in absence of marriage.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wetu soteJamani siwasimangi , ni uzi wetu sote[emoji23]