Colecole
Senior Member
- Oct 1, 2021
- 144
- 190
Umemaliza kila kitu[emoji1666]Mimi nina maoni tofauti kidogo.
Kwa nini tunaipa ndoa uzito mkubwa ambao haistahili. Kwani maisha bila ndoa hayawezekani?
Unamkuta dada wa watu mzuri tu na tabia yake safi lakini analiwa ovyo na wanaume wasioeleweka na wasiompenda kisa kutafuta ndoa. Tena wengine shida yao ni kuvaa shela tu awakoge kina Mwajuma Nchokonoe kwenye vijiwe vya umbea vya kisasa vya instagram na whatsapp.
Ladies you can make your life beautiful even in absence of marriage.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app