Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Mimi nina maoni tofauti kidogo.

Kwa nini tunaipa ndoa uzito mkubwa ambao haistahili. Kwani maisha bila ndoa hayawezekani?

Unamkuta dada wa watu mzuri tu na tabia yake safi lakini analiwa ovyo na wanaume wasioeleweka na wasiompenda kisa kutafuta ndoa. Tena wengine shida yao ni kuvaa shela tu awakoge kina Mwajuma Nchokonoe kwenye vijiwe vya umbea vya kisasa vya instagram na whatsapp.

Ladies you can make your life beautiful even in absence of marriage.
Umemaliza kila kitu[emoji1666]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Wasikutishe ndugu...Kuna my Dada ako na 36 jumamosi iliyopita katolewa mahari..ubwabwa mwezi wa 5...🤣🤣🤣🤣 Suala la muda tu ma wakati wa Mungu.
 
Najutaa now nahitaji yeyote ila mradi awe anapumua(joke)[emoji23]
Em nikuulize swali..inaamaanaa miaka yote hukuwah kubqhatika kudate na serious guy mpk unafika 30s...qu ulikua unawakataa unaangalia
Hana hela
Hana sura
Mfupi
Hatuendani..nijuze tu
Maana wanaumewalivyo wengi mi siaminigi km mtu anaweza kosa partner.nahisi shida ni sisis kubagua.[emoji848]

And pia its about God timing .....
 
Mnabagua sana mkiwa low ages ila mm ninafsi siangalii umri.
 
Mimi nina maoni tofauti kidogo.

Kwa nini tunaipa ndoa uzito mkubwa ambao haistahili. Kwani maisha bila ndoa hayawezekani?

Unamkuta dada wa watu mzuri tu na tabia yake safi lakini analiwa ovyo na wanaume wasioeleweka na wasiompenda kisa kutafuta ndoa. Tena wengine shida yao ni kuvaa shela tu awakoge kina Mwajuma Nchokonoe kwenye vijiwe vya umbea vya kisasa vya instagram na whatsapp.

Ladies you can make your life beautiful even in absence of marriage.
MWANAMKE NDIO MWENYE KUHITAJI ZAIDI NDOA KULIKO MWANAUME.(NI SABSBU ZA KIBAILOJIA, HII KUBALI KATAA NI HIVYO HIVYO.MWANAUME NI MBEGU, MWANAMKE NI SHAMBA. SHMBA BILA MBEGU NI LA NINI SASA?)
DAWA KWA MWENYE NJAA NI KULA CHAKULA,
DAWA KWA MWENYE NYE.GE NI KUTIWA.
SASA UKIWA SINGLE UNATIWA NA NANI? (NDIO UNAWEZA TUMIA VIDOLE AU MIDOLI AU CHUPA AU TANGO AU MCHI WA KINU SAWA TU UTAKATA KIU YAKO. ). WENZIO WANA KAMPANI WANAPIGA UMBEA, WANASIMULIANA YA MAKAZINI HUKO. SASA WEWE MBOWE KUACHIWA HURU UNAPIGA STORI NA NANI?

WENZIO WAKIFIKISHA UMRI WA MIKA 50,55 WANA KAMPANI YA WENZI WAO (HAWA WENYE NDOA)
SINGEL MWENYE 50,55 UNA KUWA NA KAMPANI NA NANI? UNAJUA UPWEKE NI UGONJWA KAMA MAGONJWA MWENGINE?

UKWELI KUNA SEHEMU TULIKOSEA...
WATU WAANZE KUZAA WATOTO KWA UWIANO
 
I
Hello wakuu!,

Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona? Maisha yanaendaje? Ushauri wenu ni upi kwa wengine?.

Kumekuwa na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.

Zamani mtaani kwetu nilikuwa nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekuwa huyo aunt pia aah😂.

Karibuni na muwe na Jumapili njema...
Ili uolewe haraka jitahidi kumpenda mwanaume na madhaifu yake na pia jitahidi usiwe mwanaharakati ndoa utaipata na acha dharau. Unatongozwa unaringa ringa pia acha viwanja kujirusha acha hutaolewa watakubutua tu km mpira wa kona
 
Ukiwa na expectations nyingi sana za kimaisha huku ukiamini zitatuliwa kupitia mfuko au pochi la mwanaume lazima mtasubiri sana dada yangu.

Wanaume wenye hela wapo wachache na kila mwanamke anamtaka huyo mwanamme, mwisho wa siku atachagua mmoja hao wengine ataonyesha uwanaume wake kwa kuwagonga wanawake watakao jipendekeza.

Kama umepata mwanaume anaye kutimizia MAHITAJI YA MSINGI anza nae huyo huyo,tatizo wengi wenu hamjui mahitaji yenu ya msingi,mnaamini luxury needs ndiyo mahitaji yenu ya msingi.
 
Waambie waaambie. Wakishaambiwa nakupenda wanakuaga yatima aisee yaani mahusiano yanageuzwa ajjra.
 
mmfikia wapi? mmeshampatia mume?😂😂😂
 
Back
Top Bottom