Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Mi mwenyewe mwishoni nilitoka.
Nafkr tu hata ambao hawakutoka(anbao walioolewa huo umri wetu mi nakwambia basi tu ila lazima tu wanatamani)

Kuna namna by the time unapaswa uinjoi your youth we uko busy na kuhangaika na kuwa mkamwana mwema.
Wooooih
Unaogopa kuwatia aibu waliokuozesha kumbe msoto unakula peke yako,
 
Kisa chako nakifananisha na rfk wa. Kaka angu with the age 37 alikuwa anaangika kutafuta mke wa kuoa badaae akaja kucross na bint wa Mika 33 alfu bint alikuwa descent sna na wazaz wake walikuwa vzr kiuchumi bint alivyo tangaza kumpata jamaa ndoa ilifungwa ya kimataifa zawadi kwa bint mpk viwanja kigamboni alipewa juu kwa juu ..mwanmke Ni graduate na bwana Ni form four

Anyway utaolewa tu ila upunguze unyakiyusa fln HV
Hahaa unyakyusa gani huo, mbona tuko vizuri kila idara mkuu😂
 
Ndoa za utotoni sio za kupigia chapuo, nashangaa wanaonanga wanawake wenye 30 ambao hawajaolewa, ila ndo anakuwa na uelewa mpana na uwezo wa kuhimili mikiki ya ndoa, ataiheshimu na kuithamini ndoa,,

Mimi niliolewa nikiwa 17, baada ya miaka 11 nikatoka, uelewa wa maisha kwa ujumla sikuwa natambua chochote thamani ya ndoa sikuijua, niliona kuna stage nimevukishwa kwa lazima tu,, walioniozesha walinionea sana, mi naona 26-36 ni umri poa walau akili ya mtu inaweza kuchanganua mambo
Shida ni Sexual Market Value dada, hapo unacompete na watoto wa 21-23 wapo peak nani atakuangalia wewe na 36 yako? Lazima uelewe psycholojia ya mwanaume inavyofanya kazi, sa kipindi hiki 21-23 mademu wengi ndo mnaParty hamtaki ndoa labda atokee a rich nigga.
 
Shida Ni kuhisi mtizamo wako ndo mtizamo wa wanaume wote, wapo wanaume wanaopenda wanawake wenye umri huo uliotaja, baki humo humo, tusikerembeshane
 
Ndoa za utotoni sio za kupigia chapuo, nashangaa wanaonanga wanawake wenye 30 ambao hawajaolewa, ila ndo anakuwa na uelewa mpana na uwezo wa kuhimili mikiki ya ndoa, ataiheshimu na kuithamini ndoa,,

Mimi niliolewa nikiwa 17, baada ya miaka 11 nikatoka, uelewa wa maisha kwa ujumla sikuwa natambua chochote thamani ya ndoa sikuijua, niliona kuna stage nimevukishwa kwa lazima tu,, walioniozesha walinionea sana, mi naona 26-36 ni umri poa walau akili ya mtu inaweza kuchanganua mambo
Ahsante sana dear, kwa kushare nasi hakika inabidi mtu uolewe ukiwa na utayari hata umri huo ni muhimu. Ila vipi kwa upande wa kupata watoto na complications za uzazi kwa umri above 30yrs?

Je ulifanikiwa kupata watoto kwa hiyo ndoa yako ya 11 yrs? Je ukiwaona sahivi hamuelekeani hivii yaani unakua na watoto ingali bado kijana rahaa👏
 
Mi mwenyewe mwishoni nilitoka.
Nafkr tu hata ambao hawakutoka(anbao walioolewa huo umri wetu mi nakwambia basi tu ila lazima tu wanatamani)

Kuna namna by the time unapaswa uinjoi your youth we uko busy na kuhangaika na kuwa mkamwana mwema.
Wooooih
Kuna namna by the time unapaswa uinjoi your youth we uko busy na kuhangaika na kuwa mkamwana mwema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shida ya kuolea ukiwa late 20s na 30s ni kuchelewa kutengeneza familia, hilo binafsi ni tatizo.

Mwanamke na mwanaume waliokutana wakiwa 22 na 26(mfano), wana nafasi nzuri sana ya kutengeneza familia wakiwa na nguvu, Mungu akiwabariki watoto wanalea wakiwa na nguvu. Disadvantage yake ni kuchokana mapema.

Ila ukiingia kwa ndoa uko early 30s hadi mid huko, umekomaa kweli, lakini trust me Mungu akiichelewesha baraka ya watoto, hata familia itachukua mda kukaa sawa, unapata first born uko 40, ain't healthy wala.

Hizo scenario mbili zina faida na hasara zake, sisi tulioingia huko tukiwa 30s tunaiona hasara yake.
 
Nakuelewa vizuri.
Mimi sijui hata nasimamia wapi.

Unashangaa watoto wanakuita babu [emoji2]
 
Hakika[emoji2960]

Wakati wa Bwana ni sahihi kabisa.

Unamshauri nini mtoa mada
Na Mimi unanishauri Nini!?

Wakati wa BWANA ndio wakati sahihi. Hakuna sababu za kuumiza sana kichwa kisa kuoa/kuolewa, yapo mengine mengi ya msingi ya kufanya humu duniani. Wakati sahihi utafika.

Avoid kuwa too desperate!
 
Hakika
Ushauri mzuri.

Sema Kuna namna dada zetu wakifika huo umri, kuna namna wanajistukia.
Na hii imetokana na jamii yenyewe tunayoishi inavyowatazama.

Cha msingi ni kuangalia ratiba zako na ratiba za Mungu,,tukiwaangalia watu tumekwisha[emoji23].
 
Na mtakwisha kweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom