Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chaubishi upo mama[emoji2][emoji2]
Hii misemo ingekuwa inaandikwa usoni basi ingenisaliti mapema mno
[emoji2][emoji2]
Mume ni wa mtu wivu moyoni wangu ni wa nini jamani?[emoji19] ngoja tuone maana foleni ni ya buguruni _Tazara[emoji28]Hakuna cha kusubiri foleni iishe.unajichomeka chomeka huko huko kwenye folen atakaetangazwa kanisani/msikitini ndiye mshindi dear
Mtakatikfu Hadi huku mafichoni unatufumania!!?Eti mawingu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2969]
Yaani misemo yako[emoji23][emoji23][emoji23]
😃😃sura yangu iko kama Ganda la limao mtakatifu wangu veri siriazi sura huwezi amini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Natamani kuona sura yako endapo inafanana na maneno yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi si mfanye tu mambo yasiwe mengi na baba yako tule ubwabwa jamani..mbona mnatuchelewesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
KabisaMtakatikfu Hadi huku mafichoni unatufumania!!?
Huo ni ukorofi😀
Weeeeee usiniambie.Mume ni wa mtu wivu moyoni wangu ni wa nini jamani?[emoji19] ngoja tuone maana foleni ni ya buguruni _Tazara[emoji28]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]alooo!!! Kumbe mwenzangu hata dalili uzioni[emoji26]Weeeeee usiniambie.
Kumbe buguruni-tazara hapo tuu…mbona karibu hivyo We nae..
Nilijua Dar-Mwanza
Aone tu potelea pote[emoji2][emoji2]sura yangu iko kama Ganda la limao mtakatifu wangu veri siriazi sura huwezi amini
Acha ukuda basi unataka daddy alione hili chimbo.vunga
Sion dalili ya foleni kuisha.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]alooo!!! Kumbe mwenzangu hata dalili uzioni[emoji26]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Nilikuja maana hata mimi ni wale akina shangazi amewasema financial servicesMtakatikfu Hadi huku mafichoni unatufumania!!?
Huo ni ukorofi[emoji3]
Acha basi umbea chaubishiAone tu potelea pote
Muhimu tule ubwabwa mwaka huu jamani
Siku ukifikia huko na bado unaona wingu ndipo utajua kumbe hujuiNilikuja maana hata mimi ni wale akina shangazi amewasema financial services
Kwanini mnatuchelewesha lakini?Acha basi umbea chaubishi
🤣🤣🤣kichwa chako kibovuKwanini mnatuchelewesha lakini?
Tunaoteseka ni sisi..tuhurumieni jamani😂
Kwahiyo foleni ya ndoa tuachane nayo tu tubanane humu humu[emoji28][emoji28]Sion dalili ya foleni kuisha.
Ila naiona dalili ya kutafuta sehemu yenye upenyo nijichomeke humo
Hallelujah
Vizuri kbs Yani...wewe tuBasi kumbe muunganiko wa nchi zinazoendelea za kusini mwa jangwa la Sahara unaweza kuungwanishwa vizuri kabisa.safi
Kumbe hata hujanielewa.byeKwahiyo foleni ya ndoa tuachane nayo tu tubanane humu humu[emoji28][emoji28]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Weee usiniambieVizuri kbs Yani...wewe tu
Ndy ukweli huoWeee usiniambie
Heeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kichwa chako kibovu