Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Chaubishi upo mama[emoji2][emoji2]

Hii misemo ingekuwa inaandikwa usoni basi ingenisaliti mapema mno

[emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Natamani kuona sura yako endapo inafanana na maneno yako[emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi si mfanye tu mambo yasiwe mengi na baba yako tule ubwabwa jamani..mbona mnatuchelewesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
😃😃sura yangu iko kama Ganda la limao mtakatifu wangu veri siriazi sura huwezi amini

Acha ukuda basi unataka daddy alione hili chimbo.vunga
 
Back
Top Bottom