Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

[emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi sasa pasaka kuna kipi kinachoendelea?[emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji13][emoji13]

Nimefurahi umecheka na hizo emoj[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watakatifu wengine tuko Galilaya tunampokea Yesu mfufuka.... Watakatifu wengine wako JF wanavizia ubwabwa...

Mungu ana kazi kubwa sana
 
Hadi sasa pasaka kuna kipi kinachoendelea?[emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji13][emoji13]

Nimefurahi umecheka na hizo emoj[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu utoke kwanza huko galilaya ndipo tuzungumze
 
Mi nimeona under hiyo age ila nahisi ana utoto na ujinga mwingi mpaka kero. Nafikiri kuoa mwanamke above 30 atakuwa ametulia akili. Japo hakuna uhakika maana wapo under 25 lkn wapo smart sana.
 
Vaa pendeza, kula vizuri , tafuta pesa Jipende Na Ujijali ukipata mwanaume mkaelewanaa mpe yoteee na umuheshimu. Ndoa ni swala la muda tu. Hakuna linaloshindikana
Hapo kwenye kuheshimu sijui Kama Hizi ng'ombe zinaelewa
 
Njoo mimi nikuoe mke wa pili..nipo serious
 
Mi nimeona under hiyo age ila nahisi ana utoto na ujinga mwingi mpaka kero. Nafikiri kuoa mwanamke above 30 atakuwa ametulia akili. Japo hakuna uhakika maana wapo under 25 lkn wapo smart sana.
Thank you for sharing mkuu, ila wanasema above 30yrs kuna complications za uzazi nk.🙄 Bora uvumiliane naye na kuendelea kumfundisha jinsi inavyotakiwa atakua sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…