Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
SafiNdy ukweli huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SafiNdy ukweli huo
Hee dogo!kwanani tena wifiHeeee
Jamanii wifi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunatafuta ubwabwa kwa nguvu hakuna namna🏃♀️Hee dogo!kwanani tena wifi
Utakula makonzi ya utosi ujueTunatafuta ubwabwa kwa nguvu hakuna namna🏃♀️
Mwaka huu ntawakomalia hadi mnikome🏃♀️Utakula makonzi ya utosi ujue
😂😂😂Mwaka huu ntawakomalia hadi mnikome🏃♀️
Uzuri sitishiki
Hadi sasa pasaka kuna kipi kinachoendelea?[emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23]
Watakatifu wengine tuko Galilaya tunampokea Yesu mfufuka.... Watakatifu wengine wako JF wanavizia ubwabwa...Hadi sasa pasaka kuna kipi kinachoendelea?[emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji13][emoji13]
Nimefurahi umecheka na hizo emoj[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MnoooWatakatifu wengine tuko Galilaya tunampokea Yesu mfufuka.... Watakatifu wengine wako JF wanavizia ubwabwa...
Mungu ana kazi kubwa sana
Hebu utoke kwanza huko galilaya ndipo tuzungumzeHadi sasa pasaka kuna kipi kinachoendelea?[emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji13][emoji13]
Nimefurahi umecheka na hizo emoj[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu usidhani sijasoma comments zako. Nimekustahi tuMnooo
😂😂😂😂Afu usidhani sijasoma comments zako. Nimekustahi tu
Mi nimeona under hiyo age ila nahisi ana utoto na ujinga mwingi mpaka kero. Nafikiri kuoa mwanamke above 30 atakuwa ametulia akili. Japo hakuna uhakika maana wapo under 25 lkn wapo smart sana.Hello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona? Maisha yanaendaje? Ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekuwa na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikuwa nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekuwa huyo aunt pia aah[emoji23].
Karibuni na muwe na Jumapili njema...
Nimekusamehe lakini sitakusahau😂😂😂😂
Comments gani tena jaman..
Situmekubaliana tuko chitchat!
Rafiki yako hajambo?
Mbona sinakosa jamani…unanionea bure babu😎Nimekusamehe lakini sitakusahau
Hapo kwenye kuheshimu sijui Kama Hizi ng'ombe zinaelewaVaa pendeza, kula vizuri , tafuta pesa Jipende Na Ujijali ukipata mwanaume mkaelewanaa mpe yoteee na umuheshimu. Ndoa ni swala la muda tu. Hakuna linaloshindikana
Hello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona? Maisha yanaendaje? Ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekuwa na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikuwa nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekuwa huyo aunt pia aah[emoji23].
Karibuni na muwe na Jumapili njema...
Thank you for sharing mkuu, ila wanasema above 30yrs kuna complications za uzazi nk.🙄 Bora uvumiliane naye na kuendelea kumfundisha jinsi inavyotakiwa atakua sawa.Mi nimeona under hiyo age ila nahisi ana utoto na ujinga mwingi mpaka kero. Nafikiri kuoa mwanamke above 30 atakuwa ametulia akili. Japo hakuna uhakika maana wapo under 25 lkn wapo smart sana.
Ahsante sana mkuu kwa offer ila mke wa pili mmh , hapana siamini katika mke mwenzaNjoo mimi nikuoe mke wa pili..nipo serious