Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Ahsanteee maana mtaani wanatuona wazee eti tumepoteza mvuto. Nakubaliana na wewe hii age wengi tunakua tumeshaachana na mambo ya ujana tunafocus kwenye mambo muhimu ya maisha, tuko real na hatuna utoto.
Weeeeeeeee ina maana jimbo lipo wazi.
 

[emoji23][emoji23][emoji23] aunt funancial services
 
Huelewi nini, kwani wewe unaona umechoka kuishi bila ndoa? Hivi kitu cha namna hiyo kinakuumiza kichwa kweli?

You're still a young lady, Relax!!
Hakiniumizi sana ila nafikiria mambo mengi, nahisi watoto wataniita bibi badala ya mama😂
 
Uende ukaoe mwanamke mwenye miaka 30 si utaishangaza dunia mzee

Hata kushawishi watu waoe wanawake wenye miaka 30 huo ni uhalifu wa kimtandao
Dah, comment yako kuna watu itawaumiza jamani.
 
Dah, comment yako kuna watu itawaumiza jamani.
Ni kawaida jamii kukushangaa ukioa mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea utaambiwa umeoa mzee
Lakin hata uhalisia wengi malengo ya kuoa huwa hatuweki kwenye kuoa mwanamke mwenye miaka 30+ tunaona ni kuidhulumu nafsi na wakat Kuna warembo wengi tu 18-26
 
Hapo umewalaghai kabisa, Huwezi kuheshimika kama huna ndoa

Uhuni ni kitndo cha Mwanaume/Mwanamke kukaa bila kuoa/kuolewa ilihali ni mtu mzima.

Hvo kama Dadaangu una 30 years na hujaolewa fanya juu chini hata kwa Sangoma timba vinginevyo wewe hutokua na tofaut na Wale Dada zetu wa bukubuku tena wewe utakua wa bure na ada unalipa wewe.
 
Generally wanawake above 30 wasioolewa wasiolewe kabisa kwa maana inaonyesha haoni umuhim wa ndoa maishan mwake hata akiolewa atakua mtu wa kujali yaliyomchelewesha kuolewa
Unatafuta phd huna mchumba ng'ombe kbx
Utazaa lin,utalea watoto lin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…