Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Dah kweli ipoipo tu[emoji234] Usikate tamaa, my ex girlfriend kaolewa mwezi uliopita akiwa na 43 yrs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Dah kweli ipoipo tu[emoji234] Usikate tamaa, my ex girlfriend kaolewa mwezi uliopita akiwa na 43 yrs
Thank you Mr.Ni vizuri kuwa na matumaini Miss Accountant
Njoo pm nikupoze...Wakuu endeleeni kuleta shuhuda za matumaini tupone🤔
Weeeeeeeee ina maana jimbo lipo wazi.Ahsanteee maana mtaani wanatuona wazee eti tumepoteza mvuto. Nakubaliana na wewe hii age wengi tunakua tumeshaachana na mambo ya ujana tunafocus kwenye mambo muhimu ya maisha, tuko real na hatuna utoto.
Hello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona? Maisha yanaendaje? Ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekuwa na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikuwa nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekuwa huyo aunt pia aah[emoji23].
Karibuni na muwe na Jumapili njema...
Huwa unapenda sana kutuenjoy we binti!!Wakuu endeleeni kuleta shuhuda za matumaini tupone[emoji848]
Kwanini mkuu jamani? Sure nahitaji shuhuda maana this year naturn 30yrs na sielewiii🙄Huwa unapenda sana kutuenjoy we binti!!
Huelewi nini, kwani wewe unaona umechoka kuishi bila ndoa? Hivi kitu cha namna hiyo kinakuumiza kichwa kweli?Kwanini mkuu jamani? Sure nahitaji shuhuda maana this year naturn 30yrs na sielewiii🙄
Hakiniumizi sana ila nafikiria mambo mengi, nahisi watoto wataniita bibi badala ya mama😂Huelewi nini, kwani wewe unaona umechoka kuishi bila ndoa? Hivi kitu cha namna hiyo kinakuumiza kichwa kweli?
You're still a young lady, Relax!!
Tena siyo aunt ya kizungu ni "shangazi" fina😂😂🙌[emoji23][emoji23][emoji23] aunt funancial services
Kwani shangazi huna mtoto?Tena siyo aunt ya kizungu ni "shangazi" fina[emoji23][emoji23][emoji119]
itakuwa unawapiga chini wachumba, Ni sawa na kupiga teke ndoa.Kwanini mkuu jamani? Sure nahitaji shuhuda maana this year naturn 30yrs na sielewiii🙄
Sina hata wa kusingiziwa😂Kwani shangazi huna mtoto?
Aisee🤔itakuwa unawapiga chini wachumba, Ni sawa na kupiga teke ndoa.
Dah, comment yako kuna watu itawaumiza jamani.Uende ukaoe mwanamke mwenye miaka 30 si utaishangaza dunia mzee
Hata kushawishi watu waoe wanawake wenye miaka 30 huo ni uhalifu wa kimtandao
Ni kawaida jamii kukushangaa ukioa mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea utaambiwa umeoa mzeeDah, comment yako kuna watu itawaumiza jamani.
Hapo umewalaghai kabisa, Huwezi kuheshimika kama huna ndoaMimi nina maoni tofauti kidogo.
Kwa nini tunaipa ndoa uzito mkubwa ambao haistahili. Kwani maisha bila ndoa hayawezekani?
Unamkuta dada wa watu mzuri tu na tabia yake safi lakini analiwa ovyo na wanaume wasioeleweka na wasiompenda kisa kutafuta ndoa. Tena wengine shida yao ni kuvaa shela tu awakoge kina Mwajuma Nchokonoe kwenye vijiwe vya umbea vya kisasa vya instagram na whatsapp.
Ladies you can make your life beautiful even in absence of marriage.
Generally wanawake above 30 wasioolewa wasiolewe kabisa kwa maana inaonyesha haoni umuhim wa ndoa maishan mwake hata akiolewa atakua mtu wa kujali yaliyomchelewesha kuolewaHello wakuu!,