financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
- Thread starter
-
- #761
Mmh mbona una maneno makali hivo? OkGenerally wanawake above 30 wasioolewa wasiolewe kabisa kwa maana inaonyesha haoni umuhim wa ndoa maishan mwake hata akiolewa atakua mtu wa kujali yaliyomchelewesha kuolewa
Unatafuta phd huna mchumba ng'ombe kbx
Utazaa lin,utalea watoto lin?
Hebu fanya kuni pm shangazi ili tuone tunapambana vp huu mwaka uishe vizuriSina hata wa kusingiziwa[emoji23]
Mpambano gani tena huo? Wa kutafuta mtoto?😀Hebu fanya kuni pm shangazi ili tuone tunapambana vp huu mwaka uishe vizuri
Naaaaamm!!!Mpambano gani tena huo? Wa kutafuta mtoto?[emoji3]
Aah hapanaNaaaaamm!!!
Shauri yakoAah hapana
Niwie radhi Mdada, Hii ndo siri huwa nawambia Dada zangu kila sikuMmh mbona una maneno makali hivo? Ok
Mnyakyu mwenzangu,tuliza wenge.Mungu hawai Wala hachelewi....nilipata mtoto nikiwa na 25,nikaolewa nikiwa na 31 nikaachika nikiwa na 33 now Nina 34 nitaolewa tena nikiwa na 40 huyo tutakufa pamoja I mean sitokubali niachwe nikiwa kibibi.Bado mtoto sana wewe cuteHakiniumizi sana ila nafikiria mambo mengi, nahisi watoto wataniita bibi badala ya mama😂
Kumbe we kabinti kabichi kabisa mnyaki!!😜Mnyakyu mwenzangu,tuliza wenge.Mungu hawai Wala hachelewi....nilipata mtoto nikiwa na 25,nikaolewa nikiwa na 31 nikaachika nikiwa na 33 now Nina 34 nitaolewa tena nikiwa na 40 huyo tutakufa pamoja I mean sitokubali niachwe nikiwa kibibi.Bado mtoto sana wewe cute
Uzazi ndo changamoto aiseeKumbe we kabinti kabichi kabisa mnyaki!!😜
Uzuri wewe tayari una watoto, kwako inapunguza ile haja ya lazima ya kuolewa. Huyu bado mdogo, pressure inakuwa kubwa lakini zaidi kwa vile huenda bado hana mtoto na ni kweli kuwa ukigonga 35 uzazi ni kashkashi kwa baadhi ya wanawake.
Miaka 30 huna mtotoSina hata wa kusingiziwa[emoji23]
Jamani kumbe umenifariji huku, ahsante sana , hongera una hata katoto ka kupiga nako stories, mlidumu kwenye ndoa 2 yrs pekee? DoohMnyakyu mwenzangu,tuliza wenge.Mungu hawai Wala hachelewi....nilipata mtoto nikiwa na 25,nikaolewa nikiwa na 31 nikaachika nikiwa na 33 now Nina 34 nitaolewa tena nikiwa na 40 huyo tutakufa pamoja I mean sitokubali niachwe nikiwa kibibi.Bado mtoto sana wewe cute
Dah😪😪Miaka 30 huna mtoto
Shauri yako we chelewa utakuja zaa mtoto ana dawn syndrome au kliniflter
Sema we mchumi ungekua mwanasayansi ungeelewa shida ya kuzaa na umri mkubwa
DaaahMnyakyu mwenzangu,tuliza wenge.Mungu hawai Wala hachelewi....nilipata mtoto nikiwa na 25,nikaolewa nikiwa na 31 nikaachika nikiwa na 33 now Nina 34 nitaolewa tena nikiwa na 40 huyo tutakufa pamoja I mean sitokubali niachwe nikiwa kibibi.Bado mtoto sana wewe cute
Mambo yakigoma waseme ulikaangia chipsi 😂Aah hapana
Kwenye prime time watoto wa kike ndio wanawaza kufanya show off na kubadilisha matozi 😀 ikifika jioni mambo yanakuwa ovesNiwie radhi Mdada, Hii ndo siri huwa nawambia Dada zangu kila siku
"Katika umri ambao unavutia sanaaa ukiwa idle ndo muda wa kuolewa na highly probable utampata anaekufit si muda wa kulinga wala kula bata"
Njoo tuoane my dearMnyakyu mwenzangu,tuliza wenge.Mungu hawai Wala hachelewi....nilipata mtoto nikiwa na 25,nikaolewa nikiwa na 31 nikaachika nikiwa na 33 now Nina 34 nitaolewa tena nikiwa na 40 huyo tutakufa pamoja I mean sitokubali niachwe nikiwa kibibi.Bado mtoto sana wewe cute
Kweli bhana,ya kudumuNjoo tuoane my dear