Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Generally wanawake above 30 wasioolewa wasiolewe kabisa kwa maana inaonyesha haoni umuhim wa ndoa maishan mwake hata akiolewa atakua mtu wa kujali yaliyomchelewesha kuolewa
Unatafuta phd huna mchumba ng'ombe kbx
Utazaa lin,utalea watoto lin?
Mmh mbona una maneno makali hivo? Ok
 
Mmh mbona una maneno makali hivo? Ok
Niwie radhi Mdada, Hii ndo siri huwa nawambia Dada zangu kila siku
"Katika umri ambao unavutia sanaaa ukiwa idle ndo muda wa kuolewa na highly probable utampata anaekufit si muda wa kulinga wala kula bata"
 
Hakiniumizi sana ila nafikiria mambo mengi, nahisi watoto wataniita bibi badala ya mama😂
Mnyakyu mwenzangu,tuliza wenge.Mungu hawai Wala hachelewi....nilipata mtoto nikiwa na 25,nikaolewa nikiwa na 31 nikaachika nikiwa na 33 now Nina 34 nitaolewa tena nikiwa na 40 huyo tutakufa pamoja I mean sitokubali niachwe nikiwa kibibi.Bado mtoto sana wewe cute
 
Kumbe we kabinti kabichi kabisa mnyaki!!😜

Uzuri wewe tayari una watoto, kwako inapunguza ile haja ya lazima ya kuolewa. Huyu bado mdogo, pressure inakuwa kubwa lakini zaidi kwa vile huenda bado hana mtoto na ni kweli kuwa ukigonga 35 uzazi ni kashkashi kwa baadhi ya wanawake.
 
Uzazi ndo changamoto aisee
 
Mnyakyu mwenzangu,tuliza wenge.Mungu hawai Wala hachelewi....nilipata mtoto nikiwa na 25,nikaolewa nikiwa na 31 nikaachika nikiwa na 33 now Nina 34 nitaolewa tena nikiwa na 40 huyo tutakufa pamoja I mean sitokubali niachwe nikiwa kibibi.Bado mtoto sana wewe cute
Jamani kumbe umenifariji huku, ahsante sana , hongera una hata katoto ka kupiga nako stories, mlidumu kwenye ndoa 2 yrs pekee? Dooh
 
Mnyakyu mwenzangu,tuliza wenge.Mungu hawai Wala hachelewi....nilipata mtoto nikiwa na 25,nikaolewa nikiwa na 31 nikaachika nikiwa na 33 now Nina 34 nitaolewa tena nikiwa na 40 huyo tutakufa pamoja I mean sitokubali niachwe nikiwa kibibi.Bado mtoto sana wewe cute
Daaah
 
Niwie radhi Mdada, Hii ndo siri huwa nawambia Dada zangu kila siku
"Katika umri ambao unavutia sanaaa ukiwa idle ndo muda wa kuolewa na highly probable utampata anaekufit si muda wa kulinga wala kula bata"
Kwenye prime time watoto wa kike ndio wanawaza kufanya show off na kubadilisha matozi 😀 ikifika jioni mambo yanakuwa oves
 
Mnyakyu mwenzangu,tuliza wenge.Mungu hawai Wala hachelewi....nilipata mtoto nikiwa na 25,nikaolewa nikiwa na 31 nikaachika nikiwa na 33 now Nina 34 nitaolewa tena nikiwa na 40 huyo tutakufa pamoja I mean sitokubali niachwe nikiwa kibibi.Bado mtoto sana wewe cute
Njoo tuoane my dear
 
Back
Top Bottom