financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
- Thread starter
- #761
Mmh mbona una maneno makali hivo? OkGenerally wanawake above 30 wasioolewa wasiolewe kabisa kwa maana inaonyesha haoni umuhim wa ndoa maishan mwake hata akiolewa atakua mtu wa kujali yaliyomchelewesha kuolewa
Unatafuta phd huna mchumba ng'ombe kbx
Utazaa lin,utalea watoto lin?