Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Ndoa sio kama mpira...
 
Hahaha..u crazy..
 
Maoni yako potofu mkuu.

Sio tunaipa ndoa uzito mkubwa ambao haistahili. Uhalisia ni kwamba ndoa hatuipi uzito mkubwa unayostahili. Ndoa ni jambo kubwa sana na Zito, lenye baraka tele katika maisha ya mtu.

Amebarikiwa sana yule ambae atapewa/ atapata mke/mume Bora.

Hapo juu haijasemwa atakaepata kimada au demu Bora. Imesemwa mke Bora bro.

Huyo dada mzuri na tabia yake safi hawezi kuliwa hovyo na vijana wasioeleweka. Ukimuona dada analiwa ovyo na vijana wasioeleweka ujue huyo hana hiyo tabia safi.

Unawadanganya wadada kwamba they can make their lives beautiful without marriage??? Hilo haliwezekani mkuu. Hao wadada unaowaona hawana ndoa na eti wana maisha beautiful basi wana-pretend tu lakini hawana furaha kabisa ya hayo maisha.

By the way mawazo yangu sio sheria
 
Ni kweli siyo sheria maana ni uongo tu umeandika ....mwanamke ndo anaweza akaishi pekeyake bila mwanaume tofauti na upande wenu
 
Wasikutishe, ndoa muda wowote tu inapatikana. Kuna waliowahi ndoa na ikaisha mapema. Relax
 
You are right na mtu asije akakuaminisha otherwise.

Kuna kampeni kubwa sana imeanzishwa na watu kuhusu kupinga yale yote yalioamemrishwa na vitabu vya dini.

Hawa watu hutumia vigezo hivi vya haki sawa, mwanamke can be independent, women can be whatever they want, marriage is not important, etc etc etc etc.

Be careful mkuu
 
Fact.

One of my mentor aliwahi niambia, wako wa ubani hupatikanwa ukiwa between 18- 25 years old. Ukipita umri huo bado hujampata yule unaemfeel moyoni basi utaangukia kwa yoyote tu.

Ndio maana watu wengi hawaoi/kuolewa na wale waliowataka haswaaa from mioyoni mwao.
 
Waendelee kuruka ruka tu sisi tutaoa mabinti wabichi wabichi wao wataishia kuwa michepuko tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…