Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Sasa mrembo unakosaje mume jamani au bado unatafuta CPA kwanza🤣🤣🤣🤣
 
Wee unawliaha ujinga wanawake. Wanawake msidanganyike kabisa. Ndoa muhimu.
 
Mungu ana namna yake....kuolewa sio lazima ni uhai na kua na mtu wa kukufajili na kukufanya uendlee kupigania uhai wako

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
nakumbuka wakati nasoma wamama wa mtaani. walikuwa wananishauri nivae gauni ndefu na kanga juu kujisitiri mwili kwani miaka 18 inakaribia ya kutakiwa kuolewa, nikawa navaa kwa heshima balaa, cha ajabu hiyo miaka ilipofika nilikuwa na stress za kufeli form four yaani nikitazama wenzangu wanarudi rikizo kutoka boding form five. afu mi nipo narisiti nilijihisi mbaya sana, kilichofuata nikakazabuti kwenye kitabu ili nami waniheshimu, mpk nafanikiwa kuingia chuo hadi namaliza ule umri wakuolewa ulishanitupa ndo kwanza naendea27...., 27-29 yrs ni mwaka wakusota na bahasha hapo wewe na boy wako mnasota na bahasha, inatimu31yrs mwenzio 35 ndo maisha mnaanza kuyakubali ya mtaani bila ajira mnafanya bizness ndogondogo ili ata unapomtambulisha lile swalila ANAFANYA KAZI GANI lipate jibu lake.


so acording to you mtoa mada fanya kulingana na uonavo sio waonavo swala la kuolewa mabinti tulishatishiwa tangu miaka 18.
 
Mungu ana namna yake....kuolewa sio lazima ni uhai na kua na mtu wa kukufajili na kukufanya uendlee kupigania uhai wako

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Mungu ana namna yake na ndio maana anatoa maelekezo yake.

Ili hiyo namna iwe inabidi ufuate maelekezo yake Mungu.

Haya tubakini ni hiyo notion ya kuolewa sio lazima. Haahahahaha
 
Akina mzabzab hapana siwataki, ntampata huko huko kwenye Phd 😂
Wewe olewa kusoma kupo tuu na hakutaisha. Kama mwanamke kwa kweli ukiolewa before 30 inapendeza umeshindwa sana basi mwisho 33.

Hao wa phd hawajui kugegeda wewe wanajaza maformula tuu vichwani.
 
Kwani aunty, umekaribia kuolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…