Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Hakuna linaloshindikana kuna ndugu aliolewa akiwa na 36.
 
Umemalizia vizuri maneno yako sio sheria. Swala la ndoa ni mtazamo wa mtu, mfano kwangu watoto muhim lakini ndoa sio kipaumbele.
 
1. Mwisho wa siku sio kila mwanamke ataolewa;
2. Ukiolewa below 30 angalau 28 kushuka chini ni heri sana. Ikishindikana pia maisha yaendelee. Stick to your principle mtu sahihi atakuja.
Kwa wale vijana ambao wako chuoni ndio muda mzuri wa kupata mwenzao. Msitake wale well established. Tafuta mtu mmoja anayekupa furaha na raha muanze maisha pamoja kujiepusha na stress za kuolewa kuanzia late twenties.
Mwisho wa siku ndoa inabakia kuwa fumbo na mtihani mkubwa.
 
Mdada akiwa hana pesa na yupo na miaka 30- kuendelea ndio inakuwa vigumu kuolewa ila akiwa anajiweza ni rahisi sana kuolewa nini? Sababu akiwa hana pesa katika umri huo anakuwa na vihere here vingi na anakuwa ameshajaribu na kukwepa na kupigwa na mishale mingi kupelekea kutoa mimba nyingi.. kwa kukataliwa na waliompa kwa hivyo anakuwa mtego kwa kila anayekutana nae kama mwanaume wake.. na hisia zake zinakuwa chache wakati huo.. WANAUME OYEE
 
Ni asili ya wanaume kuvutiwa na mabinti under 30 kwa sababu ya fertility kubwa zaidi kupata watoto wanayokuwa nayo wanawake wadogo. Pia ni asili ya wanawake kuvutiwa na wanaume wenye kujiweza kifedha au mali kwa sababu wanawake wanafikiria zaidi matunzo ya watoto baada ya kuzaa
 
Ndugu , jamaa na marafiki watanionaje kama sijaoa au hajaolewa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka mzabzab mpenda p* anayepondaga ndoa kila siku, Leo anakuambia Ndoa ni ya muhimu, hili jambo siyo la kupuuza mdogo wangu financial services..
Mwanamke ukibata bahati ya kuolewa olewa tuu lah sivuonutaishia gegedwa na wakina mzabzab baadae majuto. Utaishia kuolewa na mwanaume isa ana mgegegdo tuu. After 30 market value inashuka bwana
 
Coward
 
Ni kweli siyo sheria maana ni uongo tu umeandika ....mwanamke ndo anaweza akaishi pekeyake bila mwanaume tofauti na upande wenu
Hehehehe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] you are 50,, single without a family,,, let's assume ume staafu and Mungu mkubwa akubariki 90 years,,,,,,40 years of living solo,,,

Imagine that kind of life then njoo uandike tena sentence yako[emoji1787][emoji1787]
 
Kuchelewa kuolewa na kuzaa ina kuweka hatarini kujifungua mtoto mwenye matatizo ya akili na mengine mengi,
kwa mwanamke kadiri umri unavyoenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…