makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Mimi sina maON(maoni), nina maOFF tu 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemalizia vizuri maneno yako sio sheria. Swala la ndoa ni mtazamo wa mtu, mfano kwangu watoto muhim lakini ndoa sio kipaumbele.Maoni yako potofu mkuu.
Sio tunaipa ndoa uzito mkubwa ambao haistahili. Uhalisia ni kwamba ndoa hatuipi uzito mkubwa unayostahili. Ndoa ni jambo kubwa sana na Zito, lenye baraka tele katika maisha ya mtu.
Amebarikiwa sana yule ambae atapewa/ atapata mke/mume Bora.
Hapo juu haijasemwa atakaepata kimada au demu Bora. Imesemwa mke Bora bro.
Huyo dada mzuri na tabia yake safi hawezi kuliwa hovyo na vijana wasioeleweka. Ukimuona dada analiwa ovyo na vijana wasioeleweka ujue huyo hana hiyo tabia safi.
Unawadanganya wadada kwamba they can make their lives beautiful without marriage??? Hilo haliwezekani mkuu. Hao wadada unaowaona hawana ndoa na eti wana maisha beautiful basi wana-pretend tu lakini hawana furaha kabisa ya hayo maisha.
By the way mawazo yangu sio sheria
Koh koh kohThubutuuuuu..ninavyopenda ile kitu ile naanzaje kuwa tomboy..hapana kwakweli
Good!Umemalizia vizuri maneno yako sio sheria. Swala la ndoa ni mtazamo wa mtu, mfano kwangu watoto muhim lakini ndoa ndoa not sio kipaumbele
Fafanua zaidi kwa nini ndoa inampa heshima sana mwanamke
Unakifua🤩🤩Koh koh koh
Ndugu , jamaa na marafiki watanionaje kama sijaoa au hajaolewa ?Mimi nina maoni tofauti kidogo.
Kwa nini tunaipa ndoa uzito mkubwa ambao haistahili.Kwani maisha bila ndoa hayawezekani?
Unamkuta dada wa watu mzuri tu na tabia yake safi lakini analiwa ovyo na wanaume wasioeleweka na wasiompenda kisa kutafuta ndoa. Tena wengine shida yao ni kuvaa shela tu awakoge kina Mwajuma Nchokonoe kwenye vijiwe vya umbea vya kisasa vya instagram na whatsapp.
Ladies you can make your life beautiful even in absence of marriage.
Mwanamke ukibata bahati ya kuolewa olewa tuu lah sivuonutaishia gegedwa na wakina mzabzab baadae majuto. Utaishia kuolewa na mwanaume isa ana mgegegdo tuu. After 30 market value inashuka bwanaMpaka mzabzab mpenda p* anayepondaga ndoa kila siku, Leo anakuambia Ndoa ni ya muhimu, hili jambo siyo la kupuuza mdogo wangu financial services..
CowardMimi nina maoni tofauti kidogo.
Kwa nini tunaipa ndoa uzito mkubwa ambao haistahili.Kwani maisha bila ndoa hayawezekani?
Unamkuta dada wa watu mzuri tu na tabia yake safi lakini analiwa ovyo na wanaume wasioeleweka na wasiompenda kisa kutafuta ndoa. Tena wengine shida yao ni kuvaa shela tu awakoge kina Mwajuma Nchokonoe kwenye vijiwe vya umbea vya kisasa vya instagram na whatsapp.
Ladies you can make your life beautiful even in absence of marriage.
Ameolewa akiwa na watoto wangapi?Miaka 44 kama alikuwa ana degree moja,
mama mdog wangu yeye alikuwa na masters juzi kaolewa anamiaka 55.
Soma kwanza mwaya utaolewa tu.
Akiwa na degree mbili.Ameolewa akiwa na watoto wangapi?
Hehehehe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] you are 50,, single without a family,,, let's assume ume staafu and Mungu mkubwa akubariki 90 years,,,,,,40 years of living solo,,,Ni kweli siyo sheria maana ni uongo tu umeandika ....mwanamke ndo anaweza akaishi pekeyake bila mwanaume tofauti na upande wenu
Kuchelewa kuolewa na kuzaa ina kuweka hatarini kujifungua mtoto mwenye matatizo ya akili na mengine mengi,Hello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona ? Maisha yanaendaje ?ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekua na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikua nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekua huyo aunt pia aah😂.
Karibuni na muwe na jpili njema...
Sio poa hahahahahaPipe
Na bado ukitaka unakula[emoji21][emoji21][emoji21][emoji234] usikate tamaa, my ex girlfriend kaolewa mwezi uliopita akiwa na 43 yrs