Ipo hivyo na n nature kabisa ... hizo no sababu za kisaikolojia...Ni asili ya wanaume kuvutiwa na mabinti under 30 kwa sababu ya fertility kubwa zaidi kupata watoto wanayokuwa nayo wanawake wadogo. Pia ni asili ya wanawake kuvutiwa na wanaume wenye kujiweza kifedha au mali kwa sababu wanawake wanafikiria zaidi matunzo ya watoto baada ya kuzaa
Bila shaka ana kauwezo fulani hivi financially, jamaa anajua hatakuwa na majukumu mengi kiviiile[emoji234] usikate tamaa, my ex girlfriend kaolewa mwezi uliopita akiwa na 43 yrs
Hahaha, acha ukuda basi! Square pipe au round pipe?ππππPipe
Haahahahahah!Hahaha, acha ukuda basi! Square pipe au round pipe?ππππ
Hahahahaahhahahaπππ Mkuu huyu Chakorii ni mwana sana, namkubali sio poa yani na analijua hilo. Namtania tu ili aanze kuniita mi mkudaππ
"Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona ? "Hello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona ? Maisha yanaendaje ?ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekua na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikua nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekua huyo aunt pia aahπ.
Karibuni na muwe na jpili njema...
Sas s ndio watu watakukimbiaa maziama ukidaka hayo mavyetiCPA hadi PHD mkuu[emoji23]
Kaolewa na bonge la donBila shaka ana kauwezo fulani hivi financially, jamaa anajua hatakuwa na majukumu mengi kiviiile
Hayo ni mawazo mgando. Binti yangu 32 anaolewa soon. Mwingine 30 bado.Hello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona ? Maisha yanaendaje ?ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekua na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikua nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekua huyo aunt pia aahπ.
Karibuni na muwe na jpili njema...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we cheka tu rafiki wanasemaga malipo hapahapa duniani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpaka naulizwa mbona umecheka sana ??? Nani kakuchekesha?? Bahati nzuri analijua Jima la Khantwe maaana kaseviwa hivyohivyo Khantwe na washawahi kuliona katika harakati za Meinyi mpeku katika upekuzi.
Ama kweli Mungu sio Relief Mirzska
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vunga sasa we naeHahaha, acha ukuda basi! Square pipe au round pipe?ππππ