Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Ni asili ya wanaume kuvutiwa na mabinti under 30 kwa sababu ya fertility kubwa zaidi kupata watoto wanayokuwa nayo wanawake wadogo. Pia ni asili ya wanawake kuvutiwa na wanaume wenye kujiweza kifedha au mali kwa sababu wanawake wanafikiria zaidi matunzo ya watoto baada ya kuzaa
Ipo hivyo na n nature kabisa ... hizo no sababu za kisaikolojia...
 
Kwasasa umeji commit kwenye mahusiano serous? , kama haupo .. ukiingia kwenye mahusiano itakuchukuwa muda gani kutoka kwenye uchumba hadi ndoa?.

Yes inawezekana kabisa kuolewa katika umri huo.. japokuwa
Jinsi unavyojiweka na jinsi jamii inavyokuchukulia inachangia sana...

Aina ya marafiki unao hang out nao mara kwa mara?

Mishe zako na mazingira uliyopo
 
Nimepitia twita muda huu kuna mam wa kizungu around 73 age anafurahia kwa kumpta true love wake kwa miaka hyo aliyonayo Ni full shangwe huko wazungu wamejazan Tweeter wanampa pongezi binafs mm goroko Nimempa pongezi.nimeweka attachment ya maneno yake
Screenshot_20220213-172958.jpg
 
Hello wakuu!,

Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona ? Maisha yanaendaje ?ushauri wenu ni upi kwa wengine?.

Kumekua na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.

Zamani mtaani kwetu nilikua nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekua huyo aunt pia aah😂.

Karibuni na muwe na jpili njema...
"Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona ? "

☝️😁 Wataonaje tofauti sasa?
 
Kisa chako nakifananisha na rfk wa. Kaka angu with the age 37 alikuwa anaangika kutafuta mke wa kuoa badaae akaja kucross na bint wa Mika 33 alfu bint alikuwa descent sna na wazaz wake walikuwa vzr kiuchumi bint alivyo tangaza kumpata jamaa ndoa ilifungwa ya kimataifa zawadi kwa bint mpk viwanja kigamboni alipewa juu kwa juu ..mwanmke Ni graduate na bwana Ni form four

Anyway utaolewa tu ila upunguze unyakiyusa fln HV
 
Zamani ndio ilikua kuolewa na umri mdogo kawaida. Mambo yamebadilika hamna cha kuchelewa wala kuwahi. Wangap wamewah kuolewa na uzazi unawasumbua?

Wala usipanic muda wako uliopangiwa kuolewa ukifika utaolewa na kama hujapangiwa kuolewa pia hutoolewa. Kikubwa pumzi
 
Hello wakuu!,

Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona ? Maisha yanaendaje ?ushauri wenu ni upi kwa wengine?.

Kumekua na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.

Zamani mtaani kwetu nilikua nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekua huyo aunt pia aah😂.

Karibuni na muwe na jpili njema...
Hayo ni mawazo mgando. Binti yangu 32 anaolewa soon. Mwingine 30 bado.
 
.😂😂😂

Kuwa na amani mama muda bado, wekeza muda na akili kwenye mambo ya maana zaidi mume atakuja automatic.
Ni bora kuchelewa lakn kuingia ndoani na mtu sahihi. Ndoa si mashindano ni ww ndio utaishi na mume.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mpaka naulizwa mbona umecheka sana ??? Nani kakuchekesha?? Bahati nzuri analijua Jima la Khantwe maaana kaseviwa hivyohivyo Khantwe na washawahi kuliona katika harakati za Meinyi mpeku katika upekuzi.

Ama kweli Mungu sio Relief Mirzska

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we cheka tu rafiki wanasemaga malipo hapahapa duniani
 
Back
Top Bottom