G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,398
- 5,554
Muongozo gani na mmekazania kuficha chupi! Endeleeni hivyo hivyo tuTunasubiri muongozo kwakweli😛
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muongozo gani na mmekazania kuficha chupi! Endeleeni hivyo hivyo tuTunasubiri muongozo kwakweli😛
Unajuaje kama huo muda utakuwa hivi karibuni? 🤣Usiogope mdada....huo umri usikutishe....
Muda wako ukifika utaolewa tu.... don't force it....
🤪🤪🤪😌Yaani kakomalia mpaka anataka na Sisi wengine atuingize katika huo mjadala.
Ngoja nivunge hebu mie
Nilipo ni mbali sana ni siku mbili mpka unafika🤗🤗Niombee Mungu nije kisiwa end of month
Kweli wanawake hampendani[emoji1787][emoji1787][emoji1787] au sio. Wewe unaitwa Mrs Van sisi unatuambia kikubwa pumzi
Hahahaaahaahaa[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38]Wanawake above 30y hua wanamatatizo mengi. Nitakutajia 0.001% ya hilo lundo la matatizo yao
1. Uzazi unakua wa manati
2. Shahawa na manii zinapotea njia na mimba zinatunga popote pale
3. Wanqzaa watoto wenye mapungufu
4. Wanakua washabomolewa na njembaz sana
5. Wako waluwalu hawanautaratibu
6. Nyapu zimekomaa hata harufu yake sio ile tunayoipendaga
7. Maumbile yanachoka hata mvuto wa mapenzi unakua chini
8. Hata wao hawapati utamu vizuri (sugua utakavyosugua)
9. Hawatumwi
Source: Shemeji yenu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa huwa una mdomo sanaWatoto wa nje ya ndoa huwa mna maneno ya kejeli sana kuhusu maagizo ya MUNGU.
So unahisi ndoa ni mpango wa binadamu?!
Shida ya malenzi nje ya imani ndio hii.... Haramu unaona halali na halali unaona haramu. Nyooooooooooooh
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaaahaaaahaaahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1732][emoji1732][emoji1732]Mkifatwa inbox mnaringa na kutublock.
Tukiwaomba namba, mnatupea namba za zimamoto ama nmba za wajomba zenu.
Tukiwafata face to face kuwatongoza mnaleta mashauzi na dharau za kijinga,
Sasa malipo yenu ni hapahapa, Hakuna mume wa miujiza utashushiwa na Mungu bila kupitia hizi njia mnazozi-escape.
Narudia tena nakukaza maneno hakuna ndoa ya muujiza, hakuna mume wa muujiza, kawaulizeni mama zenu,shangaz na dada zenu walioolewa waliweza vipi? Jibu utalipata kuwa waliolewa sababu hawakuwa jeuri kma mlivyo ninyi masista duu.
Mficha uchi azai, yaan upigike Age yoote ya 18-20s then uje umuuzie nani chuma chakavu age ya30s?? Labda uwe lishangazi na pesa zako uwahonge vijana wadogo yaani uwaowe wew.
Hata wazee hawataki kuoa wazee wenzao, sasa sjui itakuwaje kwenu vyuma chakavu.
Naona umeanza kushituka wakati kushakucha, yaan inshort tunasema it's too late but usikate tamaa, muda unao bado, kma huyo sharobaro wako anakupotezea muda, ropoka now unaweza pata husband material humu ukabadiri ratiba nzima ya maisha yako.
Muda ni sasa, hii iwafikie wadada woote wenye age26-30 wenye ndoto za kuolewa lkn hawajaolewa sabbu ya tabia zao za ujanja wa kishamba
Huu ndio ukweli ambao wengi humu hawatokuambia.
The bitter truth [emoji23]
Tunaitwa SHANGAZI ila dunia[emoji24][emoji24][emoji29]Hello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona ? Maisha yanaendaje ?ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekua na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikua nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekua huyo aunt pia aah[emoji23].
Karibuni na muwe na jpili njema...
Kuanzia miaka 30+ ni single mother tu.Hello wakuu!,

Kuolewa ni kupi?Huyo hajaolewa atakua kakutana na mwenzie
It doesn't matter....cha muhimu kila jambo lina wakati wakeUnajuaje kama huo muda utakuwa hivi karibuni? 🤣
Fact!Shida yenu nyie "Career Women" mnataka kuanzisha familia mkiwa na miaka 35, sasa muda huo Mwanaume wa 38-40 anaangalia hottie wa miaka 23/24 sababu SMV kwake ipo juu kuliko wewe wa 35.
Kinachotokea unakuwa overstressed unaanza kutumia meds mwisho wa picha Overweight ndio unalose mvuto kabisa hakuna anayepiga hodi.
For the high value men, a woman who Knows how to cook > a woman with degree.
🙄🙄🙄🙄Nilipo ni mbali sana ni siku mbili mpka unafika🤗🤗
Huyo jamaa anakuwa na madini sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa huwa una mdomo sana
Nukuu "naona sasa kibao kimegeuka nimekua huyo aunt pia aah[emoji23]."Hello wakuu!,