Wale mnaojidanganya na kujipa moyo kuwa Yanga SC leo anashinda huko Tunisia kutaneni hapa mtupe sababu zenu

Akili kubwa ya nyookoo
 

Baada ya mambo kua tofauti tuseme una akili ndogo sasa
 
Kweli kutesa kwa zamu, wale nzi wa kijani wametapakaa kila kona ya nchi.
Kama wana Ukame wa Mafanikio haya waliyoyapata Jana ( hasa ya Kuingia Makundi ) Je, ulitegemea Wasiwehuke hivi kwa Furaha Mkuu?
 
Kitu atabiri mtu wakupigana kila siku kitimie, dalili niliziona toka walivomtimua mnyiramba akavuka mto sibiti nilijua hawa akili ndogo tu
 
Ila marefa wanaibeba Yanga....ile penalty ya waarabu kakausha....alisikika popoma mmoja...bladgakeni

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hata wao Club Africaine jana ndiyo nimegundua nao pia Uwezo wao ni mdogo kwani wana Mapungufu kadhaa ya Kimsingi ( ya Kiufundi ) na kuna muda dakika zilivyokuwa zinaenda huku nikiwaona Yanga SC wakifanya Pressing Kubwa na wakiwa determined na Morali yao kuwa juu nilianza kuhisi kuwa wanaenda Kushinda ama ndani ya dakika 90 au katika Penalties.
 

Tumethibitisha namna ulivyo kilaza wa chuo cha Upopoma SAUT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…