Wale mnaopenda kuwatukana na kuwadharau vijana wa Arusha angalieni hii video muaibike

Ndo nini sasa huyo sijui ni comedian.. sasa kufika nje mbona watu kibao wako nje, shida ni nini?

Tumia akili lini nimeandika Uzi wa kuwasema hao vijana?😂😂
Mzuka Wanajamvi!

Kumeibuka na watu wa ajabu jamvin siku hizi. Wanadharau, kuwakebehi na kuwadhihaki sana vijana wachapakazi na wanaojituma wa Arusha. Angalieni iyo video hapo chini muabike nyie kina johnthebaptist Accumen Mo Juma1967 Mkaruka

Kwamba huyo jamaa ni tajiri kushinda comedian wote hapa bongo au ndo comedian bora?

😂😂😂 Mnapenda dhihaki kutudhihaki mbona mnatuita majina kibao sisi watu wa Pwani wala hatujali ,kitu kidogo kelele kibao hamjiamini ,hatuna dhihaki sema nyie ndo mnaanza na huyo jmaa kweny video ndo anaitwa Nan?
 
Naomba usinatag nimechangia mada kumbe jambo limekukaa kooni halafu mtoto wa kiume...😂😂😂kuwa makini tunao watu kibao ni most successful kweny career zao na wala hwaringi kawaida sana wako town ,huko nje wanaenda kawaida sana wala sio lazima kujionyesha na kuleta pigo za kishamba.

Tambua kama unajiona mjanja basi wenzio wanakuona mshamba na vice versal ni true.

Kama tunawakejeli bila nyie kuanza basi Tulsa kuripot Id zetu haswa ya kwangu ifutwe huku jf...you just marked my id I don't know why ?
 
Mzuqa sana,

Machalii wa R tupo Juu , Beneficial anatuwakilisha vyema "Mambefele" huko , naona ana DUNGU JESHI.
Wakina joti na ile the comedy washaenda muda kitambo huko mbele bado mna ushamba mnataka kujulikana mmfika wapi ..wakina Hussein machozi wanaishi mambele kitambo hata solo thang nyie ushamba mzigo

Mwakinyo huyo mdigo anawek historia kibao huko mambele ..mbona wadigo hwapigi kelele.

Wapo madogo wanacheza soko nje wanatoka Moro ,mbeya ,dar ,kigoma hwanaga kelele.

Nyie mnapenda Kik behind uwezo ni mdogo hata utaje top 20 ya comedian huyo sijui ndo Nan wenu hamna kitu na wala hanaga tension kubwa zaidi yuko kilocal zaidi kwa mkoa wenu .

Ukiwa smart watu kutoka nje wanakuona smart sio wewe unajipigia debe kwamba uko smart.

Ukiwa tajiri haina haja ya kupiga kelele na kujieleza watu watajua tu.

Sijawai kuona uchapakazi wenu zaidi ya dili za smugglings, uvutaji bangi, ulevi, uwizi
 
Ni wivu tu.
 
Ni wivu tu.
Sio wivu mzee nakueleza nyie mnapenda battle mko wachache wala hatuna time na nyie mara chache ukute mtu wa Pwani anajieleza sana na kumjua anatokea wapi wala hatujali ,kwa vile hatuoni mpinzani nyie mnajishtukia unamkuta mtu hapa dar kavaa fulana imaendikwa "Arusha boy" kama kaulizwa vile😂😂😂.

Watu wapo kimya nyie kelele nyingi uwezo mdogo
 
Wakina joti na ile the comedy washaenda muda kitambo huko mbele bado mna ushamba mnataka kujulikana mmfika wapi ..wakina Hussein machozi wanaishi mambele kitambo hata solo thang nyie ushamba mzigo

Mwakinyo huyo mdigo anawek historia kibao huko mambele ..mbona wadigo hwapigi kelele.

Wapo madogo wanacheza soko nje wanatoka Moro ,mbeya ,dar ,kigoma hwanaga kelele.

Nyie mnapenda Kik behind uwezo ni mdogo hata utaje top 20 ya comedian huyo sijui ndo Nan wenu hamna kitu na wala hanaga tension kubwa zaidi yuko kilocal zaidi kwa mkoa wenu .

Ukiwa smart watu kutoka nje wanakuona smart sio wewe unajipigia debe kwamba uko smart.

Ukiwa tajiri haina haja ya kupiga kelele na kujieleza watu watajua tu.

Sijawai kuona uchapakazi wenu zaidi ya dili za smugglings, uvutaji bangi, ulevi, uwizi
Kweli, hawa wa dogo zangu ni washamba mno, sijui niwakusanye vipi niwape semina elekezi wajitambue, huu ushambaa unatudhalilisha sana A towers wakongwe.
 
Back
Top Bottom