Mzuka Wanajamvi!
Kumeibuka na watu wa ajabu jamvin siku hizi. Wanadharau, kuwakebehi na kuwadhihaki sana vijana wachapakazi na wanaojituma wa Arusha. Angalieni iyo video hapo chini muabike nyie kina johnthebaptist Accumen Mo Juma1967 Mkaruka
https://www.facebook.com/
Mzuqa sana,
Wakina joti na ile the comedy washaenda muda kitambo huko mbele bado mna ushamba mnataka kujulikana mmfika wapi ..wakina Hussein machozi wanaishi mambele kitambo hata solo thang nyie ushamba mzigoMzuqa sana,
Machalii wa R tupo Juu , Beneficial anatuwakilisha vyema "Mambefele" huko , naona ana DUNGU JESHI.
Ni wivu tu.Wakina joti na ile the comedy washaenda muda kitambo huko mbele bado mna ushamba mnataka kujulikana mmfika wapi ..wakina Hussein machozi wanaishi mambele kitambo hata solo thang nyie ushamba mzigo
Mwakinyo huyo mdigo anawek historia kibao huko mambele ..mbona wadigo hwapigi kelele.
Wapo madogo wanacheza soko nje wanatoka Moro ,mbeya ,dar ,kigoma hwanaga kelele.
Nyie mnapenda Kik behind uwezo ni mdogo hata utaje top 20 ya comedian huyo sijui ndo Nan wenu hamna kitu na wala hanaga tension kubwa zaidi yuko kilocal zaidi kwa mkoa wenu .
Ukiwa smart watu kutoka nje wanakuona smart sio wewe unajipigia debe kwamba uko smart.
Ukiwa tajiri haina haja ya kupiga kelele na kujieleza watu watajua tu.
Sijawai kuona uchapakazi wenu zaidi ya dili za smugglings, uvutaji bangi, ulevi, uwizi
Sio wivu mzee nakueleza nyie mnapenda battle mko wachache wala hatuna time na nyie mara chache ukute mtu wa Pwani anajieleza sana na kumjua anatokea wapi wala hatujali ,kwa vile hatuoni mpinzani nyie mnajishtukia unamkuta mtu hapa dar kavaa fulana imaendikwa "Arusha boy" kama kaulizwa vileπππ.Ni wivu tu.
ππππduuuuh kwa hiyo wambele wote wameinama na wanyuma wapate kuona.Mbona hatari sasa.Wanavuliwa sana ubingwa
Kweli, hawa wa dogo zangu ni washamba mno, sijui niwakusanye vipi niwape semina elekezi wajitambue, huu ushambaa unatudhalilisha sana A towers wakongwe.Wakina joti na ile the comedy washaenda muda kitambo huko mbele bado mna ushamba mnataka kujulikana mmfika wapi ..wakina Hussein machozi wanaishi mambele kitambo hata solo thang nyie ushamba mzigo