Wale mtakaofanikiwa ajira za Ualimu njooni hapa tujuzane

Wale mtakaofanikiwa ajira za Ualimu njooni hapa tujuzane

Sanyambila

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2018
Posts
378
Reaction score
510
Wana JamiiForums habari za leo

Nimeona nilete Uzi huu kwanii yamebaki Masaa machache waziri mwenyedhamana kutangaza majina ya waliopata kazi kulitumikia Taifa katika kada yavualimu na kada ya afya.

Hivyo basi wale mtakao fanikiwa njooni hapa tujuzane
. ili uweze kupata mwenzio,
.au wa njia moja.
. pili ujue mahali unapoenda kwa ufafanuzi
. ma DMO na wakuu wa shule watakupa msaada
.mazingira mengine ukisikia huko nje unaweza kulia ila hapa JF ipo nchi nzima utapata ufafanuzi wa kule unapo enda.

Karibuni sana na kwale mnaopata kujua majina yametoka share nasi hapaa

By mdau

IMG-20220626-WA0001.jpg
 
Attachments

Moja ya kazi inayohitaji uvumilivu, basi ni hii ya ualimu. Ni kawaida sana kuona hata mtu aliyepata division 0 mtihani wa kidato cha nne, anakudharau mwalimu mwenye shahada/stashahada.

All the best kwa wale wachache mtakao pata.
 
Na pia jiandaeni kupata subsistance allowance kwa mara ya kwanza na mama amezipandisha na kuwa 100,000+ kwa siku japo sina uhakika kama ni kwa vsiku 7 au kwa siku 14, mwenye uhakika na hilo atujuvye hapa!
 
Moja ya kazi inayohitaji uvumilivu, basi ni hii ya ualimu. Ni kawaida sana kuona hata mtu aliyepata division 0 mtihani wa kidato cha nne, anakudharau mwalimu mwenye shahada/stashahada.

All the best kwa wale wachache mtakao pata.
Kozi kama za maendeoeo ya jamii,na nyinginezo vigezo vya kudahiliwa unaambiwa uwe na angalau D kadhaa,ila ualimu unakuta mtu kafaulu vizuri tu,lakini anadharauliwa sijui tatizo nini?
 
Hivi kuna division one au two wanaosomea ualimu??
Wengi sana. Nikukumbushe tu kuwa Mkwawa high school kabla haijageuzwa kuwa Mkwawa University Colledge of Education ilikuwa inachukua form 4 waliopata division 1 na kuwapeleka wakasome A level hapo huku wakijifunza ualimu. Wakitoka hapop wanakuwa wamepata cheti cha A level na pia cheti cha Ualimu ngazi ya diploma. Pale UDSM ili upate nafasi ya kusoma education hapo inabidi uwe na division 1 au II. Ni ndra sana wenye division III kupata nafasi ya kusomea kozi ya education hapo sana sana ni watu wa sayansi ndo hupata hapo nafasi wakiwa na III.
 
Hapa ndo pananifany nimuwaze sana madam president alivyosem tulioend ualimu tulipata marks za chin tukakosa pakwenda ila mm nafahamu ata mwenywe III kafaulu vzur tuu .......tatiz serikal saiv imelegez flan ivi kias kwamb weny III wanawapelek certificate na ukifwatilia vzr system ya kufaulish f4 km imekua simple sana sabab elimu imevamiw n siasa mwish tunazid semwa n Kila m2
 
Hizi nyuzi za ajira nyingi kila kona.
 
Vijana mnafujo sana !

Hizi ajira zitoke tu mmalize hizi kelele kwenye hili jukwaa!
Pale unapotoa na uzi halafu unajikuta PDF limekutema ha!ha!Maumivu ya kutemwa tunayajua.

Ila sio mbaya uzi wako ni mzuri na utakuwa na msaada hasa watakakuwa wamepata utakuwa umewasaidia kuuliza baadhi ya mambo wasiyoyajua pia kuelekezwa sehemu walizopangiwa

Siku likitoka kuna watakaobaki wanyonge na kunawatakaokuwa na furaha ila yote kwa yote ni njia ambayo mtafutaji yoyote anapitia katika kutafuta maisha.
Mungu atufanyie wepesi kwakweli.

Watakaopata hongereni.
Watakaokosa Mungu awape uvumilivu na ujasiri mueendelee kupambana katika kile mnachofanya.
 
Back
Top Bottom