Wale mtakaofanikiwa ajira za Ualimu njooni hapa tujuzane

Wale mtakaofanikiwa ajira za Ualimu njooni hapa tujuzane

Wana jamii forum habari za Leo!
Nimeona nilete Uzi huu kwanii yamebaki Masaa machache waziri mwenyedhamana kutangaza majina ya waliopata kazi kulitumikia Taifa katika kada yavualimu na kada ya afya.

Hivyo basi wale mtakao fanikiwa njooni hapa tujuzane
. ili uweze kupata mwenzio,
.au wa njia moja.
. pili ujue mahali unapoenda kwa ufafanuzi
. ma DMO na wakuu wa shule watakupa msaada
.mazingira mengine ukisikia huko nje unaweza kulia ila hapa JF ipo nchi nzima utapata ufafanuzi wa kule unapo enda.

Karibuni saaana na kwale mnaopata kujua majina yametoka share nasi hapaa

By mdau
Huu uzi wataufurahia wataopata but kwa watakao kosa wataupita kwa Kasi na itakuwa ni kilio na kusaga meno.
 
Daaa muda wa kusikiliza maumivu ...
Mwaka wa nne Sasa tamisemi hawalioni jina langu na kuliweka kwa pdf
 
Oyaaa walimu much respect sana kwenu ila kuna sehemu tunakwazana kwanzana ila ndio hivyo ubinadamu huo kila mtu ana mapungufu yake
 
Watoe ili mambo ambayo yako pending,either yafanyike kama mtu kakosa au yapotezewe kama mtu kapata.Itauma sana pale watu wa 2020 na 2021 watakapofurika kwenye pdf,huku wa 2015-2018 au 2019 wakiwa wachache huku walioachwa wengi,Mungu saidia.
 
Na pia jiandaeni kupata subsistance allowance kwa mara ya kwanza na mama amezipandisha na kuwa 100,000+ kwa siku japo sina uhakika kama ni kwa vsiku 7 au kwa siku 14, mwenye uhakika na hilo atujuvye hapa!
ni nini hiyosubsistance allowance na vp kwa walimu wapya wataingia kwenye mfumo wa malipo moja kwa moja au kuna miezi ya uangalizi
 
IMG-20220626-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom