Sanyambila
JF-Expert Member
- Jan 24, 2018
- 378
- 510
- Thread starter
- #81
Barbara ni Rami hadI sumbawanga Dar to mbeya mbeya to sumbawabga sumbawanga had I shuleWakuu habari
Kwa anayefahamu vzr mazingira ya karema secondary (katavi region) anielekeze yako VP
Shule INA advance au in O'level tu?
Kwa mtu anayetokea dar, njia rahisi na nzuri kufika ni ipi, kupitia mbeya au tabora?
Asante
Ngoja waje wenyeji watujuze