Wale mtakaofanikiwa ajira za Ualimu njooni hapa tujuzane

Mguu sawa mguu pande unashauriwa usikae pekee yako kaa na mwenzio fungue Jamii forum mpate hongera au faraja whatever
 
Anatoa taarifa kuhusu mradi, Ajira hua zinatangazwa na mtendaji mkuu wa wizara ambae ni katibu mkuu…prof. Shemdoe

Tuwe wavumilivu [emoji3] zitatangazwa kesho!
Watakuwa wote kila MTU kipande chake
 
Hivi ni kweli walioomba ni laki na nusu halafu wanaotakiwa ni 9800 tu?

Na hizo ajira ni kuanzia primary, o'leve na advance au ni za waalimu wa level ipi wakuu?? Maana kutoboa kwenye laki na nusu ni mtihani kweli kweli!!
 
 
PDF isije tofauti na matumaini afu uka jikuta una jiua bure. Jiandaeni kwa kila hali
 
Nendeni kwenye website ya TAMISEMI mtakuta PDF
 
Majina yenywe mabaya [emoji3064]

Kwanza kuajiliwa ni dhambii [emoji3064][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…