Wale ni Wayahudi wa kutengeneza, msikilizeni huyu mchungaji

Kuchambua Israel kunahitaji akili na sio ushabiki au kutafuta victims tu na kuw upande wake.

Huyo Jamaa nimemsikiliza tu kapoteza hizo sifa za Uchungaji. mean ni mpotofu.

Anasema Israel wakristo wanatemewa Mate? nadhani kuna ka crip ka zamani sana Muslims wanakitumia kama ndio picha halisi ya Wayahudi, tena hao waliotema Mate walikuwa ni Orthodox Jews wale wasiotaka kuwa wanajeshi wava kofia. Hao wanajiona ndio watoto wa Musa hata jamii zingine za Wayahudi hawaivani kabisa ni Group ambalo enzi hizo lilichaguliwa lisifanye kazi zaidi ya kuombea Nchi ndio chanzo cha Zaka na Sadaka wapewe wao tu na mibaraka ilikuwa inatelemka kwa wingi Asali na Maziwa

View: https://www.youtube.com/shorts/7uL555xWQeE?feature=share

View: https://www.youtube.com/shorts/7TwEQX6zwUI?feature=share

Zanzibar tu misalaba inang'olewa church na hater muslims -
Christian and Muslim ni Tishio kwao kwani wote wanandoto ya kusali eneo lao la Hekaru lililobomolewa Jews need their place to worship their God.

View: https://www.youtube.com/shorts/vio53jUpJz0?feature=share
Huu ndio ukweli mtake msitake, Hebu Nendeni Mecca tuone kama mtakubaliwa, Mtu na chake
1750966293562.png

Upumbavu kama huo uaupata kwa Mtu mjinga tu pekee na IPM ni mmoja wao, hate zipo kila jamii duniani, na Hate ya waislam ni kubwa kuliko zote Duniani, Mpando wa Muslim ni kuua kwanza Jews kisha Chrsitians, Israel ipo kwa kusave Christians kutusogeza sehemu salama hadi Kiama,

Kuwasema Israel ni Wauaji ni upumbavu wake tu Israel always amekuwa ni wa Kujitetea ndio maana jeshi lake linaitwa IDF Israel Defence Force sasa always huwa anashinda vita vyake vya kujitetea so wachokozi hapo hapo ndio wanajifanya wameonewa na wanaonewa na Israel,

Sasa IPM anasema Israel ndie kamchokoza Iran hahaha angeenda Teheran kabla ya ile Saa kubwa inayoonesha masaa yaliyobakia ili israel iangamizwe kwanza ndio aongee upumbavu wake wa Msikitini alikojifunzia
1750964895517.png

Israel amefanya preemptive strike kamuwahi Iran kabla hajawahiwa yeye, Hizo Proxy war Houthi, Hezbollah ,Hamas,N.k ni mikono ya Iran akasome Ktabu cha Ayatollah kimeandikwa mipango gani.. Ameandika Israel isikae kwa Raha nchi yao Takatifu.

IPM NI MPUMBAVUM akafanye research kwanza na sio kuongea upumbavu.

Wakristo wa Kwanza ni Jews na Christianity imeongezeka sana Israel aache uongo
 
IPM sio mchungaji, ni Sheikh anayetumia Biblia ili ajipatie sadaka.

Kilichomleta kwenye ukristo ni kwa sababu ni rahisi kula sadaka za waKristo kuliko za waIslam.

Alafu huwezi kuitenga Israel unapozungumzia Ukristo.

Wao kwa sasa wamefanywa wamkatae Yesu ili sisi tupate nafasi ya kuokolewa, na muda wetu utakapoisha wataondolewa ukungu wa Kiroho watamjua Yesu ni nani, na wakati huo upande wetu muda wa kuokolewa utakuwa umeisha...
 
Hakuna dini wayahudi wanaidharau duniani kama ukristo
Wapo sawa unataka wakupende kwa lipi? when you say New Jerusalem mean wao watoke they have Covenant with God. Ukisema free palestine mean waondoke kwenye nchi yao.

Israel inabidi ifanye maamuzi magumu ondosha arabs wote kwa nguvu watatulia tu la sivyo chuki za wapumbavu ni too much. Arabs go back to Arabian Peninsula let Israelist waishi kwa raha
 
Sisomagi utumbo🚮
 
Mtumishi wa Mungu Mfalme Daudi aliua maelfu ya wafilisti na alikuwa karibu sana na Mungu, alipaswa aeleze waisrael halisi ni akinanani lakini siyo kuipinga Israel kwa kujificha katika kichaka cha kupinga mauaji
 
Kuchambua Israel kunahitaji akili na sio ushabiki au kutafuta victims tu na kuw upande wake.

Huyo Jamaa nimemsikiliza tu kapoteza hizo sifa za Uchungaji. mean ni mpotofu.

Anasema Israel wakristo wanatemewa Mate? nadhani kuna ka crip ka zamani sana Muslims wanakitumia kama ndio picha halisi ya Wayahudi, tena hao waliotema Mate walikuwa ni Orthodox Jews wale wasiotaka kuwa wanajeshi wava kofia. Hao wanajiona ndio watoto wa Musa hata jamii zingine za Wayahudi hawaivani kabisa ni Group ambalo enzi hizo lilichaguliwa lisifanye kazi zaidi ya kuombea Nchi ndio chanzo cha Zaka na Sadaka wapewe wao tu na mibaraka ilikuwa inatelemka kwa wingi Asali na Maziwa

View: https://www.youtube.com/shorts/7uL555xWQeE?feature=share

View: https://www.youtube.com/shorts/7TwEQX6zwUI?feature=share

Zanzibar tu misalaba inang'olewa church na hater muslims -
Christian and Muslim ni Tishio kwao kwani wote wanandoto ya kusali eneo lao la Hekaru lililobomolewa Jews need their place to worship their God.

View: https://www.youtube.com/shorts/vio53jUpJz0?feature=share
Huu ndio ukweli mtake msitake, Hebu Nendeni Mecca tuone kama mtakubaliwa, Mtu na chake
View attachment 3385013
Upumbavu kama huo uaupata kwa Mtu mjinga tu pekee na IPM ni mmoja wao, hate zipo kila jamii duniani, na Hate ya waislam ni kubwa kuliko zote Duniani, Mpando wa Muslim ni kuua kwanza Jews kisha Chrsitians, Israel ipo kwa kusave Christians kutusogeza sehemu salama hadi Kiama,

Kuwasema Israel ni Wauaji ni upumbavu wake tu Israel always amekuwa ni wa Kujitetea ndio maana jeshi lake linaitwa IDF Israel Defence Force sasa always huwa anashinda vita vyake vya kujitetea so wachokozi hapo hapo ndio wanajifanya wameonewa na wanaonewa na Israel,

Sasa IPM anasema Israel ndie kamchokoza Iran hahaha angeenda Teheran kabla ya ile Saa kubwa inayoonesha masaa yaliyobakia ili israel iangamizwe kwanza ndio aongee upumbavu wake wa Msikitini alikojifunzia
View attachment 3384974
Israel amefanya preemptive strike kamuwahi Iran kabla hajawahiwa yeye, Hizo Proxy war Houthi, Hezbollah ,Hamas,N.k ni mikono ya Iran akasome Ktabu cha Ayatollah kimeandikwa mipango gani.. Ameandika Israel isikae kwa Raha nchi yao Takatifu.

IPM NI MPUMBAVUM akafanye research kwanza na sio kuongea upumbavu.

Wakristo wa Kwanza ni Jews na Christianity imeongezeka sana Israel aache uongo

Imekuuma sana mkuu, pole sana...
Israel ni nchi ya kishetani na kigaidi, sio huyo mchungaji tu anayesema, wamarekani wengi tu ambao ni tax payers na hizo kodi zao ndizo zinaijenga Israel wanalalamika uovu wa hilo taifa la mchongo.. achana na wewe myahudi mweusi kutoka Ukerewe...

Mnaloliita Taifa la Mungu hali ya kuwa linautambua ushoga na Tel Aviv kwa jina lingine huitwa gay paradise, kila mwaka wana parade mji mzima wa Tel Aviv kila ofisi ya serikali, hoteli utakuta kibendera cha LGBT...

Wewe hujui chochote kuhusu hilo taifa ambalo ni mchongo wa wazungu kulianzisha na kulitumia kuivuruga middle east...

Eti Mungu aliwaahidi miaka 3000 iliyopita 😂 🤣
Kwa hio Mungu aliwaahidi miaka 3000 iliyopita watambue LGBT?

Kuhusu kutemea mate usiruke ruke, wayahudi wa Israel hawautambui ukristo elewa hilo, uyahudi na ukristo ni vitu viwili tofauti kabisa, achana na kutemewa mate, Jerusalem kuna mchungaji alitaka kupigwa nyundo na myahudi, wengine wakavunja msalaba kwa nyundo... kuna matukio mengi tu ya wakristo kushambuliwa physically...

Usijipe moyo...
 
Imekuuma sana mkuu, pole sana...
Israel ni nchi ya kishetani na kigaidi,
Mshajaribu sana kuwaangamiza na mkashindwa sasa mnajigeuza mnaonewa wakati lengo lenu lipo kwenye Quran. bora Mtume wenu alifanikiwa kule Medina akawaua na kuwaondoaha Wayahudi Genocide ya waislam middle east so hao ndio mashetani na magaidi. Pale Jerusalem mtapigwa hadi kiama Mungu wa Israel atawanung'unisha hadi mfe.
sio huyo mchungaji tu anayesema, wamarekani wengi tu ambao ni tax payers na hizo kodi zao ndizo zinaijenga Israel wanalalamika uovu wa hilo taifa la mchongo.. achana na wewe myahudi mweusi kutoka Ukerewe...
Tax payer kivipi? Israel inalipa madeni yote kwa Marekani wewe no mpummbavu mkuu ukisikia msaada wa pesa za Silah unadhani ni bure na kodi za Raia hahahahaha kichaa kweli ile ni biashara kubwa sana ambayo Marekani hawezi acha mteja mkubwa kama Israel. Donkey wewe, kwahiyo hata ukisikia Tanzania imepata Msaada unajua ni bure yayo hahah kaulizie Daeni la Taifa ni kiasi gani na maendeleo gani umepata Mabarabara yote ya Magu yashaharibika na deni lipo pale pale
Mnaloliita Taifa la Mungu hali ya kuwa linautambua ushoga na Tel Aviv kwa jina lingine huitwa gay paradise, kila mwaka wana parade mji mzima wa Tel Aviv kila ofisi ya serikali, hoteli utakuta kibendera cha LGBT...
So nchi gani haina ma Gay? so unataka wauliwe au wanyongwe? kama umekibali na Mungu cha kuwaua your free to do that na wewe tukuite Shetani. people are talkng nonsense siku hizi Haters Trump anawaita nyie watu wenye machukizo yaani unajua makosa ni ni U gay tu huku wewe unazini na Dada yako kwenu, Yesu aliwaambieni asiye na dhambi achukue jiwe ampige mwanamke aliyezini
Wewe hujui chochote kuhusu hilo taifa ambalo ni mchongo wa wazungu kulianzisha na kulitumia kuivuruga middle east...
Waarabu ndio waligoma kuishi na Jews... Wayahudi imeandikwa kabisa wote watarejea makwao na watapambana na maadui zao wote na watawashinda so wewe upo wrong side of History mtu kwao hapachoki
Eti Mungu aliwaahidi miaka 3000 iliyopita 😂 🤣
Labda kama wewe ni pagan sawa ila for Muslim ar Chrsistians hua pa kuponea ndio kwao pale na walikuwepo tokea miaka hiyo. Ndio Taifa au Jamii inayokataliwa kila nchi wanapoenda so maamuzi ni kurejea kwao kote The Great Israel halikwepeki hilo utaumia kijana
Kwa hio Mungu aliwaahidi miaka 3000 iliyopita watambue LGBT?
Hayo ni maneno ya mkosaji na kwa sababu Iran imebondwa mpango wa kuiangamiza Israel umekwama kabisa LBGT kwenu pia wapo mbona kia James delicious au ni Goma lako?
Kuhusu kutemea mate usiruke ruke, wayahudi wa Israel hawautambui ukristo elewa hilo, uyahudi na ukristo ni vitu viwili tofauti kabisa, achana na kutemewa mate, Jerusalem kuna mchungaji alitaka kupigwa nyundo na myahudi, wengine wakavunja msalaba kwa nyundo... kuna matukio mengi tu ya wakristo kushambuliwa physically...

Usijipe moyo...
Nishasema kule ni kwao sio kwa christians wala Islam Jesus came later and follower wanaitwa Christians and Muslims and Jews, 1st Christians was Jews
 
bahati mbaya wabongo huwa hatupendi kusikia ukweli..
🤣🤣🤣 Mental slave hiyo

Hakuna ugonjwa mbaya kama huo

Hapo mwisho huyo Jamaa kamaliza na hoja ambayo Mimi nilikuwa Nina iongea wakati wa vita --- Haiwezekani bomu lipigwe Kwenye ghorofa halafu liue mtu Mmoja Ina maana ktk Hilo ghorofa pailikuwa na mbuzi ndio wanao ishi !?
 
Back
Top Bottom