Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
- Thread starter
- #41
Ukristo sio dini ni upagani, shtuka mzee babaItem china nani sasa. Au unafikir ukristo ni taarabu za kupashana kama uislam
Ukristo sio dini ni upagani, shtuka mzee babaItem china nani sasa. Au unafikir ukristo ni taarabu za kupashana kama uislam
Ukweli gani ameongea?Kaongea ukweli ndio maana imewachoma
Sawa nchi mbali mbali mashoga wapo hata Tanzania, Kenya n.k, lakini kwanini serikali ya kiyahudi ambayo inadai ile ardhi ni ya kwao kwa mujibu wa biblia na torati halau wakai huo huo serikali hio hio iutambue ushoga ambao unapingwa na biblia na torati? ndio maana mnaambiwa hio Israel ya mchng haipo...So nchi gani haina ma Gay? so unataka wauliwe au wanyongwe?
Nyani haoni kundule??? Waislamu wao ruksa kumdinya Mbuzi.Kondoo.Punda au Nguruwe hilo wewe hulioni kabisa !!Sawa nchi mbali mbali mashoga wapo hata Tanzania, Kenya n.k, lakini kwanini serikali ya kiyahudi ambayo inadai ile ardhi ni ya kwao kwa mujibu wa biblia na torati halau wakai huo huo serikali hio hio iutambue ushoga ambao unapingwa na biblia na torati? ndio maana mnaambiwa hio Israel ya mchng haipo...
Hata serikali ya Tanzania na nchi zingine zote wanapambana na matumizi ya dawa za kulevya lakini haimaanishi madawa hayapo mtaani na watu hawayatumii, madawa yapo na watumiaji wapo lakini serikali hazitambui madawa na zinapiga maruuku..
Kwanini serikali ya Israel iutambue ushoga? Israel shoga wapo hadi ofisi ya rais, wapo jeshini, wapo kwenye siasa n.k , kwanini serikali ya taifa teule kama mnavyodai wautambue ushoga hali ya kuwa biblia inasema Mungu anachukizwa sana sana na hio dhambi kiasi cha kuteremsha moto kutoka mbinguni ichome mji mzima kwa sababu ya dhambi hii... acheni unafiki ndugu zangu......
Vip ile inayoabudu jiwe na majin ndio dini sioUkristo sio dini ni upagani, shtuka mzee baba
nimekuuliza kwanini serikali ya Israel inautambua ushoga, huko mnapokwenda kwenye sherehe za matawi ushoga ni ruksa....Nyani haoni kundule??? Waislamu wao ruksa kumdinya Mbuzi.Kondoo.Punda au Nguruwe hilo wewe hulioni kabisa !!
Kuchambua Israel kunahitaji akili na sio ushabiki au kutafuta victims tu na kuw upande wake.
Huyo Jamaa nimemsikiliza tu kapoteza hizo sifa za Uchungaji. mean ni mpotofu.
Anasema Israel wakristo wanatemewa Mate? nadhani kuna ka crip ka zamani sana Muslims wanakitumia kama ndio picha halisi ya Wayahudi, tena hao waliotema Mate walikuwa ni Orthodox Jews wale wasiotaka kuwa wanajeshi wava kofia. Hao wanajiona ndio watoto wa Musa hata jamii zingine za Wayahudi hawaivani kabisa ni Group ambalo enzi hizo lilichaguliwa lisifanye kazi zaidi ya kuombea Nchi ndio chanzo cha Zaka na Sadaka wapewe wao tu na mibaraka ilikuwa inatelemka kwa wingi Asali na Maziwa
View: https://www.youtube.com/shorts/7uL555xWQeE?feature=share
View: https://www.youtube.com/shorts/7TwEQX6zwUI?feature=share
Zanzibar tu misalaba inang'olewa church na hater muslims -
Christian and Muslim ni Tishio kwao kwani wote wanandoto ya kusali eneo lao la Hekaru lililobomolewa Jews need their place to worship their God.
View: https://www.youtube.com/shorts/vio53jUpJz0?feature=share
Huu ndio ukweli mtake msitake, Hebu Nendeni Mecca tuone kama mtakubaliwa, Mtu na chake
View attachment 3385013
Upumbavu kama huo uaupata kwa Mtu mjinga tu pekee na IPM ni mmoja wao, hate zipo kila jamii duniani, na Hate ya waislam ni kubwa kuliko zote Duniani, Mpando wa Muslim ni kuua kwanza Jews kisha Chrsitians, Israel ipo kwa kusave Christians kutusogeza sehemu salama hadi Kiama,
Kuwasema Israel ni Wauaji ni upumbavu wake tu Israel always amekuwa ni wa Kujitetea ndio maana jeshi lake linaitwa IDF Israel Defence Force sasa always huwa anashinda vita vyake vya kujitetea so wachokozi hapo hapo ndio wanajifanya wameonewa na wanaonewa na Israel,
Sasa IPM anasema Israel ndie kamchokoza Iran hahaha angeenda Teheran kabla ya ile Saa kubwa inayoonesha masaa yaliyobakia ili israel iangamizwe kwanza ndio aongee upumbavu wake wa Msikitini alikojifunzia
View attachment 3384974
Israel amefanya preemptive strike kamuwahi Iran kabla hajawahiwa yeye, Hizo Proxy war Houthi, Hezbollah ,Hamas,N.k ni mikono ya Iran akasome Ktabu cha Ayatollah kimeandikwa mipango gani.. Ameandika Israel isikae kwa Raha nchi yao Takatifu.
IPM NI MPUMBAVUM akafanye research kwanza na sio kuongea upumbavu.
Wakristo wa Kwanza ni Jews na Christianity imeongezeka sana Israel aache uongo
Ukweli upi sasa? Huyo aliesema ni nani? Mnachagua watu. Huyo ata Malawi tu hajulikani takataka. Ushoga upo kwenye ilani ya CCM. Wanalindwa na CCM na ndio maana wapo wengi CCM. Mtafuteni ayatollah atoke pangoni kwanza. Mmepigwa mpaka mmechakaa. Muiteni mtume alienyweshwa sumu na pisi ya kizayuni awasaidie😂Kwenye ukweli huwa mnaumia sana, muwe wavumilivu tu.
Hakuna cha no reforms wala ushoga, tupo bize na wanaume wa IRAN wakimuaabisha mzayuni
Nami Nimekuuliza kuwa kwa nini nchi za kiislamu ni halali kumdinya Mbuzi,Kondoo na NGURUWE wakati huo huo hapa kwetu ukipatikana unamdinya Mbuzi au Kondoo unafungwa miaka ya kutosha?nimekuuliza kwanini serikali ya Israel inautambua ushoga, huko mnapokwenda kwenye sherehe za matawi ushoga ni ruksa....
Hapa nani kazungumzia uislamu na ukristo? hapa tunasema kuhusu Israel,kwanini serikali itambue ushoga? mashoga wapo kila nchi lakini nchi nyingi hazikubali ushoga, kwanini Israel, watu watakatifu, watu wa Mungu wautambue ushoga?
Nilishakuambia mimi sio muislamu, lakini kama huko ndiko eneo unaoa pa kujificha, niletee maandiko kwenye Quran, sio Sheikh alisema, sio muislamu alisema, kwamba ni halali kumdinya mbuzi?Nami Nimekuuliza kuwa kwa nini nchi za kiislamu ni halali kumdinya Mbuzi,Kondoo na NGURUWE wakati huo huo hapa kwetu ukipatikana unamdinya Mbuzi au Kondoo unafungwa miaka ya kutosha?
Kama siyo Muislamu kwa nini unaniomba maandiko kwenye Quran? Acha kujificha ficha wewe ni Mfuga Midevu na Majini tuambie kwa nini kudinya Wanyama kwenu ni halali?Nilishakuambia mimi sio muislamu, lakini kama huko ndiko eneo unaoa pa kujificha, niletee maandiko kwenye Quran, sio Sheikh alisema, sio muislamu alisema, kwamba ni halali kumdinya mbuzi?
Nimekuuliza lete maandiko ya hio Quran inayosema kulala na mnyama ni halali mbona kitu simple sana...Kama siyo Muislamu kwa nini unaniomba maandiko kwenye Quran? Acha kujificha ficha wewe ni Mfuga Midevu na Majini tuambie kwa nini kudinya Wanyama kwenu ni halali?
Ukweli upi sasa? Huyo aliesema ni nani? Mnachagua watu. Huyo ata Malawi tu hajulikani takataka. Ushoga upo kwenye ilani ya CCM. Wanalindwa na CCM na ndio maana wapo wengi CCM. Mtafuteni ayatollah atoke pangoni kwanza. Mmepigwa mpaka mmechakaa. Muiteni mtume alienyweshwa sumu na pisi ya kizayuni awasaidie😂
Kwani ardhi imeisha Israel nzima wakose pa kujenga eneo la ibada? Au ni kutafuta shari tu kwamba lazima usali pale pale? Yaani wana maeneo ya kujenga madanguro ya ushoga ila wanakosa eneo la kujenga synagogue?Jews need their place to worship their God.
Kuna ugumu gani wewe kutuambia kwa nini ni halali kwenu kumdinya Mbuzi?? Na kama wewe unasema haimo kwenye Quran yenu sasa kwa nini ni Ruksa kwenu kundinya wanyama wewe unatakiwa utuambie siyo uniulize mimi ambaye si Mwislamu nikupe andiko la Quran!!!Nimekuuliza lete maandiko ya hio Quran inayosema kulala na mnyama ni halali mbona kitu simple sana...
Lete maandiko kwenye Quran yanayosema kulala na mbuzi ni halali...
Nilishakuambia mimi sio muislamu toka kitambo, mimi kupinga wanachofanyiwa Palestinians haimaanishi mimi ni muislamu, lakini bado umekazana kama zombie kuniita mfuga majini, sasa huko huko unapotaka kujificha nakufuata, nakuuliza kwamba lete mandiko kutoka kwenye Quran yanayoruhusu mwanaume kulala na mbuzi/kondoo, mapadre na kesi zao kuwafira watoto haimaanishi biblia inasema hivyo, usijitoe ufahamu lete maandiko kutoka kwenye Quran yanayohalalisha mtu kulala na mnyama..Kuna ugumu gani wewe kutuambia kwa nini ni halali kwenu kumdinya Mbuzi?
Hivi kwa nini wewe hujataka lile jiwe jeusi lenu litolewe huko Makka lijengwe Tanzania ambako tuna ardhi ya kutosha?Kwani ardhi imeisha Israel nzima wakose pa kujenga eneo la ibada? Au ni kutafuta shari tu kwamba lazima usali pale pale? Yaani wana maeneo ya kujenga madanguro ya ushoga ila wanakosa eneo la kujenga synagogue?
Acha ujinga mimi si Mfuga Majini mwenzako kama hilo unakiri halikuandikwa kwenye kitabu chenu swali linakuja kwa nini sasa kwenu kudinya Mbuzi na Kondoo kwenu ni halali??Nilishakuambia mimi sio muislamu toka kitambo, mimi kupinga wanachofanyiwa Palestinians haimaanishi mimi ni muislamu, lakini bado umekazana kama zombie kuniita mfuga majini, sasa huko huko unapotaka kujificha nakufuata, nakuuliza kwamba lete mandiko kutoka kwenye Quran yanayoruhusu mwanaume kulala na mbuzi/kondoo, mapadre na kesi zao kuwafira watoto haimaanishi biblia inasema hivyo, usijitoe ufahamu lete maandiko kutoka kwenye Quran yanayohalalisha mtu kulala na mnyama..
IPM sio mchungaji, ni Sheikh anayetumia Biblia ili ajipatie sadaka.
Kilichomleta kwenye ukristo ni kwa sababu ni rahisi kula sadaka za waKristo kuliko za waIslam.
Alafu huwezi kuitenga Israel unapozungumzia Ukristo.
Wao kwa sasa wamefanywa wamkatae Yesu ili sisi tupate nafasi ya kuokolewa, na muda wetu utakapoisha wataondolewa ukungu wa Kiroho watamjua Yesu ni nani, na wakati huo upande wetu muda wa kuokolewa utakuwa umeisha...
Mimi ni mkristo so mambo ya jiwe siyajui kabisa. So jibuni hoja acheni kona konaHivi kwa nini wewe hujataka lile jiwe jeusi lenu litolewe huko Makka lijengwe Tanzania ambako tuna ardhi ya kutosha?