Wale ni Wayahudi wa kutengeneza, msikilizeni huyu mchungaji

Wale ni Wayahudi wa kutengeneza, msikilizeni huyu mchungaji

IPM sio mchungaji, ni Sheikh anayetumia Biblia ili ajipatie sadaka.

Kilichomleta kwenye ukristo ni kwa sababu ni rahisi kula sadaka za waKristo kuliko za waIslam.

Alafu huwezi kuitenga Israel unapozungumzia Ukristo.

Wao kwa sasa wamefanywa wamkatae Yesu ili sisi tupate nafasi ya kuokolewa, na muda wetu utakapoisha wataondolewa ukungu wa Kiroho watamjua Yesu ni nani, na wakati huo upande wetu muda wa kuokolewa utakuwa umeisha...
Mbona hapo hapo Israel kuna wakristo? Au hao waliokokaje?

Alafu unam-limit vipi Mungu? Kwamba Yesu asingeweza kuwaokoa wanadamu bila wayahudi kumkataa? Are you serious?
 
Mbona hapo hapo Israel kuna wakristo? Au hao waliokokaje?

Alafu unam-limit vipi Mungu? Kwamba Yesu asingeweza kuwaokoa wanadamu bila wayahudi kumkataa? Are you serious?
Ninamlimit? Nimemlimit kivipi?

Kwani mimi naongozwa na nini?

Jibu - BIBLIA.

Sasa Biblia ndiyo inavyosema alafu wewe unaniambia namlimit Mungu.

Hiyo iko wazi kuwa Wayahudi hawautambui uKristo labda kama uko hapa kubishana...
 
Huwezi kutenganisha Israel na ukristo, huyo jamaa ametoka na chuki zake huko ukobazini hivyo hawezi kuelewa kitu. Chuki imempofusha
 
Wabungo mkiambiwa ukweli huwa mnarukaruka kama maharage machenga ili kukwepa ukweli
Hamna ukweli wowote. Huyo ana chuki binafsi tu dhidi ya wayahudi. Chuki alizofundishwa alivyokua huko ukobazini.
Mkristo wa kweli anajua umuhimu wa Israel, nchi ya ahadi.
 
Ninamlimit? Nimemlimit kivipi?

Kwani mimi naongozwa na nini?

Jibu - BIBLIA.

Sasa Biblia ndiyo inavyosema alafu wewe unaniambia namlimit Mungu.

Hiyo iko wazi kuwa Wayahudi hawautambui uKristo labda kama uko hapa kubishana...
Biblia inasema Yohana 3:16 kwa Maana Mungu aliupenda Ulimwengu...... hakusema israel ikiwa na maana wokovu ungekuja tu kwa watu wote whether wangeukataa au lah. Ndio maana nikasema don't limit God.
 
Biblia inasema Yohana 3:16 kwa Maana Mungu aliupenda Ulimwengu...... hakusema israel ikiwa na maana wokovu ungekuja tu kwa watu wote whether wangeukataa au lah. Ndio maana nikasema don't limit God.
Mkuu, soma Biblia asee, kama husomi Biblia uachane na habari za kuizungumzia, badala yake ujifunze...
 
Mkuu, soma Biblia asee, kama husomi Biblia uachane na habari za kuizungumzia, badala yake ujifunze...
Mimi ni theologian kabisa hata humu jf nimejaza thread za biblia unless husomagi so jibu hoja acha kukimbia. Mungu hafungwi ndio maana hata Israel kuna wakristo hao vipi neema imewapata?
 
Mimi ni theologian kabisa hata humu jf nimejaza thread za biblia unless husomagi so jibu hoja acha kukimbia. Mungu hafungwi ndio maana hata Israel kuna wakristo hao vipi neema imewapata?
Sasa theologian unasoma mawazo ya watu ambao mara nyingi hayatokani na ufunuo.

Alafu mimi sio kukimbia, ni kuwa majibizano mara nyingi sioni umuhimu, sababu kuna kukubali kutokukubaliana.

Wewe kuwa Theologian hakuna uhusiano wowote na kujua Biblia kwa undani wake, na ukiacha kusoma vitu vya kukariri ndipo utaanza kuielewa Biblia...

Hili hapa neno kutoka Biblia, katika mengi ambayo ningeweka hapa kama ushahidi


Warumi 11:25-27

Kwa maana, ndugu zangu, sitaki msijue siri hii, msije mkajiona wenye hekima wenyewe; ya kuwa kufumba kwa akili kumewapata Israeli kwa sehemu, hata utimilifu wa watu wa Mataifa utakapowasili. Na hivyo Israeli wote wataokolewa, kama ilivyoandikwa: Mkombozi atakuja kutoka Sayuni, atageuza uasi mbali na Yakobo.
 
Warumi 11:25-27

Kwa maana, ndugu zangu, sitaki msijue siri hii, msije mkajiona wenye hekima wenyewe; ya kuwa kufumba kwa akili kumewapata Israeli kwa sehemu, hata utimilifu wa watu wa Mataifa utakapowasili. Na hivyo Israeli wote wataokolewa, kama ilivyoandikwa: Mkombozi atakuja kutoka Sayuni, atageuza uasi mbali na Yakobo.
Nilijua tu utatumia mstari huu na mbona sioni kokote waliposema kwamba wayahudi wamepewa upofu ili tupate wokovu? Maana ndio ulikua msingi wa hoja yako.

Biblia haisomwi kwa mstari mmoja bwana mdogo, ila kwa ujumla wake Mungu alileta wokovu kwa ulimwengu bila kujali rangi wala taifa. Hayo mengine yote ni mchakato tu ila kusudi kuu ni wokovu kwa wote na ndio maana kwenye Warumi Yesu anasema enendeni mataifa yote.... hakusema enendeni Israel!!

Have a nice day
 
Nilijua tu utatumia mstari huu na mbona sioni kokote waliposema kwamba wayahudi wamepewa upofu ili tupate wokovu? Maana ndio ulikua msingi wa hoja yako.

Biblia haisomwi kwa mstari mmoja , ila kwa ujumla wake Mungu alileta wokovu kwa ulimwengu bila kujali rangi wala taifa. Hayo mengine yote ni mchakato tu ila kusudi kuu ni wokovu kwa wote na ndio maana kwenye Warumi Yesu anasema enendeni mataifa yote.... hakusema enendeni Israel!!

Have a nice day

Sasa kama uliujua ni kwanini hukusema, wewe si ulihitaji andiko kuonesha huelewi?

Ukumbuke pia nilisema kuna maandiko mengi, sio hilo moja, na hilo hata mtoto mdogo ataelewa linaelezea nini...

Ni kwamba ninaamini Theology yako haina kitu chochote kinachohusiana na Biblia, na haijakusaidia, na ndio baada ya kuona unaletewa andiko lililo wazi unakimbilia have a nice day...

Alafu inaonekana wewe sio Mkristo, umechukulia Theology yako katika chuo gani, na level yako ni diploma, bachelor ama masters?
 
Huyo ustaadh iPM anafanya comedy kupotosha wajinga.

Kwamba wanatemewa mate huko, muulizeni kama ndugu zake katika imaan wa Tanzania wanawapenda wananchi wenzao Wakristo..


View: https://youtube.com/shorts/FX-zRwmuxc8?si=LSWLCPeJbpHW4E-v

Huyo Mtume wao tu alikuwa Kafir mbona, waulize Wayahudi ndio waliompa hilo jina and yeye baadae akalirudisha kwa Wayahudi na Wakristo hahaha,

Mohammad Alisema anafuata dini ya Ibrahim wakati Quran inasema Ibrahim alikuwa Hanith au Kafir Muslim.

Hao wanadai wamevamiwa wakati wao tu ni wanyamwezi wa Tabora watumwa wa Waarabu huk visiwani
 
Pata bahati ya kukutana na mkristo aliyeishi Palestina alafu akaishi Israel, Palestina ni bora kwa Mkristo kuliko Israel, Wayahudi na dini wanajioni ni first priority, wakristo wa kiinjilisti wana bagazwa vizuri tu.
Kwako hilo ni Tatizo? Hebu nenda Mecca kisha katangaze ukristo wako kama utarudi ukiwa mzima! boa Kwenye nchi ya wayahudi watakutemea mate tu kisha uende zako,

Nenda India kwenye Temple zao ukawaletee zako hizo ukione.

Sometime mnaleta ligi za kipumbavu hata kujibu unaona kama utakuwa unamkibu mpumbavu vile. Elimu mbona ipo free tu siku hizi una just google tu au AI ZINDUKENI NA UJINGA Mnakera. kamchukue chui na Simba kisha wafungie uone
Kuhusu Iran kuwa na chuki Israel na matokeo ya Israel kujijengea chuki toka nchi yao inaanzishwa mwaka 1948,
Ujinga wa Historia ndio umbumbumbu wako kwenye bongo lako kasome wapi Isrel aliichukia Iran tokea miaka hiyo unayodai and kabla ya 1979 Ayatollah alipofanya mapinduzi haramu.

Ayatollah ndie alisema kwa mapinduzi yake atakomboa maeneo yote ya Waislam sasa Quran tu inamuumbua Israel siyo ya Waislam ni ya Waisraeli

Israel Tokea inaanzishwa imekuwa na jeshi la Kujilinda tu hawajawahi kuwa na hiyo mipango yenu mnayaiwazia ndio chuki zenu.
the way wanaishi na wenzao kwa maana ya majirani hasa nchi zinazopakana nazo ndiyo matokeo ya chuki iliyopo baina yao.
Israel anaishi na Majirani vizuri ila majirani ndio wanatafuta mwanya wowote wawavamie na kuwamaliza Trust me
Labda niuulize kitu wewe unapenda kile kinachoendelea Gaza?
Gaza Muhimu kwa Israel inavyofanya kwani huu ni Mtego tu amewekewa Israel aonekane mmbaya wakati wabaya ni hao hao Arabs hawataki hata mpalestina atoke kama Mkimbizi, and wanataka Hamas iendelee kuongoza Gaza ili waisaidie upya silaha na waendelee kuifanya Israel wasiishi kwa raha. so i insist Irael aendelee kuwachapa tu Hamas kwani Makosa yao hawajawahi omba msamaha wala Kuombwe Msamaha na nchi yeyete Hata Mungu usipomuomba msamaha hakusamehi kamwe.

Hamas wao at least kiomngozi wao alikili kuwa ni mistake walifanya na wenzie wakamjia juu abadilishe kauli.
Unadhani Gazan wakeondoshwa kama wakimbizi vita ingeshaisha kitambo. so to use civilian as human shield kwa ajili ya kuendelea kubakia madarakani Gaza ni jambo la kufutwa.
Hamas alianzisha Israel mwenyewe lengo likiwa kudhoofisha chama cha PLO cha Yasser Arafat mwaka 1987 na walianzisha kwa lengo la divide and rule,
Hayo ni maoni yako and am sure unachukua akili za watu wa Propaganda go and search for yourself acha u stupidity kwani kamwe hutokuja solve kesi yeyote kwa kutengemea Propaganda za fanatic muslims. hawajawahi win hao kwa ungo wao wa ki iblisi
Hezbollah ilianzishwa mwaka 1985 mara baada Israel kuivamia Lebanon sababu huko Lebanon kulikuwa na wanachama wa PLO.
Hezobollah imeanzishwa 1982
1985 Hezbollah inakazaliwa hasa na Waislamu wa Kishia wakiwa na lengo la kuindoa Israel katika ardhi ya Lebanon.
1982 Walifadhiliwa na Iran so unaona sasa Chuki aliyeanzisha i Iran na siyo Israel
Israel mpango wake yeye ni kujitanua kuchukua ardhi za wenzake "Great Israel" anachukua ardhi Palestina yote, Syria atamega, Saudia Aribia kufikia Maccah atamega, Jordan, Misri maeneo ya Sinai na Iràq. Akiwa kwenye mpango wa kutekeleza haya anataka kuiona Middle East ikiwa dhaifu, hakuna mtu wa kumuuliza wala kumkemea, kwaiyo leo utaona Iran anapigana na Israel basi kesho kutwa tarajia Israel atapiga na Turkey au Pakistan maana hawa ndiyo wanaonesha wananguvu za kijeshi kwa Waislamu.
Hayo ni masingizio na maoni yako Ukimchokoza Israel utapigwa tu. hadi ukome, Jumuiya ya kiarabu ilijaribu wakapigwa then wakaona Israel sio adui bali anajilinda tu na behiind the scene kuna fanatic ambao ndio washawishi na hilo jambo lako kuwa Israel inataka kuwa Great as per biblia inavyosema... Uturuki pia anaogopa kwani kibiblia part of Turkey ni promise land ya Abraham to uzao wake.
Issue Arabs and Muslim wanakhof kwa sababu maeneo wanayoishi siyo yao Arabs are from Arabian Peninsula. Medina ni mji wa wayahudi Mohammad aliuwa na kuwafukuza wayahudi wote na kupiga marufuku wasirudi wala kukanyaga ardhi yao hadi leo so ni wachache wamefika kwa siri na wale walibadilisha dini enzi hizo ambao inasemekana familia ya Saudia ni Jews walio convert to muslim time hizo
Sisi Wakristo walituweza kwenye dini na ndiyo maana kwao tupo kama kondoo kwao.
Mkristo huwa hana uoga wa kindezi kama wewe au unawaogopa Waislam? hakuna maandiko yeyote yaliyo tabili Mkristo kushindwa na Muislam even jews hawezi shindwa na Muislm,

uislam upo tu ni dini ya iblis utapita tu na iblis Joka mwenyewe anajua atarejea kwenye Shimo lake na kupotea kama alivyosema Mohammad katika Hadith Sahih Muslim 146 Book 1, Hadith 280

It is narrated on the authority of Ibn 'Umar ('Abdullah b. 'Umar) that the Messenger of Allah (ﷺ) observed:
Verily Islam started as something strange and it would again revert (to its old position) of being strange just as it started, and it would recede between the two mosques just as the serpent crawls back into its hole.


Na Christianity itakuwa juu ya Dini zote hadi Kiama Quran 3:45
˹Remember˺ when Allah said, “O Jesus! I will take you1 and raise you up to Myself. I will deliver you from those who disbelieve, and elevate your followers above the disbelievers until the Day of Judgment. Then to Me you will ˹all˺ return, and I will settle all your disputes.
 
Sawa nchi mbali mbali mashoga wapo hata Tanzania, Kenya n.k, lakini kwanini serikali ya kiyahudi ambayo inadai ile ardhi ni ya kwao kwa mujibu wa biblia na torati halau wakai huo huo serikali hio hio iutambue ushoga ambao unapingwa na biblia na torati? ndio maana mnaambiwa hio Israel ya mchng haipo...

Hata serikali ya Tanzania na nchi zingine zote wanapambana na matumizi ya dawa za kulevya lakini haimaanishi madawa hayapo mtaani na watu hawayatumii, madawa yapo na watumiaji wapo lakini serikali hazitambui madawa na zinapiga maruuku..

Kwanini serikali ya Israel iutambue ushoga? Israel shoga wapo hadi ofisi ya rais, wapo jeshini, wapo kwenye siasa n.k , kwanini serikali ya taifa teule kama mnavyodai wautambue ushoga hali ya kuwa biblia inasema Mungu anachukizwa sana sana na hio dhambi kiasi cha kuteremsha moto kutoka mbinguni ichome mji mzima kwa sababu ya dhambi hii... acheni unafiki ndugu zangu......
Kwani umeambiwa Serikali ya Israel ni ya Kidini? katiba ya nchi ipo na inatoa haki kwa wote kwa utaribu wa kutomkera mwingine ni democrat government achaneni na fikra zisizo na research.

Itafika hizo time z strictly law but now. issue zingine hata sio za kujadili kwani zinaweza kukufanya uonekane haupo smart. Chuki huwezi bebesha Taifa zima kisa mtu au kundi la watu limekutemea Mate wakati unajua ubaguzi ni part of our life.
 
Kwani umeambiwa Serikali ya Israel ni ya Kidini? katiba ya nchi ipo na inatoa haki kwa wote kwa utaribu wa kutomkera mwingine ni democrat government achaneni na fikra zisizo na research.

Itafika hizo time z strictly law but now. issue zingine hata sio za kujadili kwani zinaweza kukufanya uonekane haupo smart. Chuki huwezi bebesha Taifa zima kisa mtu au kundi la watu limekutemea Mate wakati unajua ubaguzi ni part of our life.
Sio ya kidini imekuwaje wanakwenda pale na kusema torati inasema lile eneo ni lao? ile serikali ip pale kwa sababu kwa mujibu wao wanasema ni eneo lao, na Jerusalem sasa wameichukua imekuwa makao makuu... how comes?
 
Back
Top Bottom