Wale ni Wayahudi wa kutengeneza, msikilizeni huyu mchungaji

Sasa unaikana post yako mwenyewe?
We jamaa achana na mimi umeshakiri ulitaka kufundishwa kuingia LGBT sasa niseme nini tena?
Umeandika post halafu uka edit haraka haraka ukafikiri sijainyaka...
Ujinga huo kudanganye wengine na ndiyo maana umeandika maneno ya kujihami endelea tu kutumia uongo na Upotoshaji usiokuwa na maana yoyote. Ninyi ndiyo mnaliharibu sana jukwaa hili kwa uongo na upotoshaji wa mambo!!

Ujinga kama huu hauwezi kukupa credit yoyote ku edit post za watu ili kukidhi au kuhalalisha uongo wako ingekuwa nafikiri JF wakuu huku lie hatua kwa kosa hili maana kwa kufanya hivi mnazidi kushusha hadhi ya Jukwaa hili!!!!
 
Mna chuki mbaya sana dhidi ya uislamu, ila hamtafanikiwa
Sio chuki. Nyie mnachukia kila dini, mnajiona bora. Kusema ukweli si chuki, si ni kweli alioa katoto? Unabisha? Si ni kweli alioa ndugu yake? False prophet 🤣
 
Ujinga huo kudanganye wengine na ndiyo maana umeandika maneno ya kujihami endelea tu kutumia uongo na Upotoshaji usiokuwa na maana yoyote. Ninyi ndiyo mnaliharibu sana jukwaa hili kwa uongo na upotoshaji wa mambo!!

Ujinga kama huu hauwezi kukupa credit yoyote ku edit post za watu ili kukidhi au kuhalalisha uongo wako ingekuwa nafikiri JF wakuu huku lie hatua kwa kosa hili maana kwa kufanya hivi mnazidi kushusha hadhi ya Jukwaa hili!!!!
Tulia we myahudi kutoka Muleba, kwanini unaikana post yako ama ulijisahau?
 
Huo ni ujinga mnaoufanya ku edit Post ya mtu ili tu uhalalishe uongo wako nafikiri ingekuwa bora kabisa Uongozi wa JF wakuchukulie hatua ili kulinda hadhi ya Jukwaa hili. Kwa ujinga na upumbavu ulioufanya umejishusha wewe mwenyewe nina Iman Moderators watakushughulikia ili kulinda hadhi ya Group hili!!!!!
 
Mod wenyewe wameona post ni yako ndio maana wamepuuza...
Unatia huruma sana, pole sana, lini tena unakwenda Tel Aviv?
 
Unafikiri kwa kufuta post yako kutakusaidia? Uongo ndiyo kitu ulichokalia na hakikusaidii chochote!! Endelea tu ku edit post za watu ili kukidhi uongo wako!!!
 
Back
Top Bottom