Wale ni Wayahudi wa kutengeneza, msikilizeni huyu mchungaji

Israel ukimtaja Yesu hadharani ni kosa kisheria --- Wafia dini wa kibongo hawalijui Hilo 🤣
 
View attachment 3384853
Wale ni Mayahudi wa Kutengeneza👆🏻
View attachment 3384888
Ukweli wa Vita ya Iran na Taifa haram👆🏻

Wayahudi weusi kutoka 🇹🇿 nawasubiri
Umekaririshwa ujinga na upumbavu IPM ni Mwislam/Kristu ni Majasiliamali kama akina Mazinge na Kipozeo hawana tofauti kabisa!!

IPM ana akili ya kushikishwa bado anaamini watoto wanauwawa Gaza kakaririshwa na yeye sasa anaimba huo wimbo wa watoto kuuwawa Gaza wala hajiulizi kwa nini wanauwawa watoto tu je wazazi wao daima wanaenda wapi? Au mabomu ya Israel yanawakwepa wakubwa yanawafuata watoto?

IPM ameshindwa kujua kuwa Iran ilishatangaza kuifuta Israel kwenye uso wa dunia siku nyingi na ilikuwa kwenye maandalizi ya kupata silaha za Nuclear ili kutekeleza adhima yao, bahati nzuri Israel imewawahi kabla hawajatimiza takwa lao Zuzu IPM yeye hajui!!.

Yeyeaendelee tu kuwazuga Wajinga na Wapumbavu kama yeye tu!!!
 
Mungu alikupa akili tafadhali zitumie vizuri!!!

Kwa taarifa yako tu Israel kuna ving'ora ambavyo hutoa taarifa mapema ya shambulio lolote kutoka Iran au Yemen. Pia kila sehemu kumewekwa Basement sehemu ya kukimbilia pending kombola linapoelekewa sehemu hiyo.

Ndiyo maana Israel vifo ni vichache sana maana wakati wa shambulio watu wengi wanakuwa kwenye Basement watu wachache sana wenye viburi ndiyo hukutwa wako nje ya mahandaki hayo na huo ni uzembe wa mtu ilitakiwa asiwepo hata mtu wa kufa au kuumia kama wote wangefuata Security Procedures.

Kwa hiyo wajinga kama wewe mnaona mnadanganywa wakati ukweli ndiyo huo!!
 
Kwenye ukweli huwa mnaumia sana, polee.

Hebu tuonyeshe yakipigwa
 
Huyo ni mjinga kama wajinga wengine. Taulo la CCM hilo.
Kwenye ukweli huwa mnaumia sana, muwe wavumilivu tu.

Hakuna cha no reforms wala ushoga, tupo bize na wanaume wa IRAN wakimuaabisha mzayuni
 
Ulivyosikia Taifa la Mungu ulijua wanaishi Malaika?
 

Attachments

  • IMG_20250628_173958_879.jpg
    74.1 KB · Views: 14
  • IMG_20250628_173824_103.jpg
    239.8 KB · Views: 15
  • IMG_20250626_085246_740.jpg
    304.7 KB · Views: 18
  • IMG_20250621_141346_775.jpg
    90.9 KB · Views: 19
IPM NI MPUMBAVUM akafanye research kwanza na sio kuongea upumbavu.
Pata bahati ya kukutana na mkristo aliyeishi Palestina alafu akaishi Israel, Palestina ni bora kwa Mkristo kuliko Israel, Wayahudi na dini wanajioni ni first priority, wakristo wa kiinjilisti wana bagazwa vizuri tu.

Kuhusu Iran kuwa na chuki Israel na matokeo ya Israel kujijengea chuki toka nchi yao inaanzishwa mwaka 1948, the way wanaishi na wenzao kwa maana ya majirani hasa nchi zinazopakana nazo ndiyo matokeo ya chuki iliyopo baina yao. Labda niuulize kitu wewe unapenda kile kinachoendelea Gaza?

Hamas alianzisha Israel mwenyewe lengo likiwa kudhoofisha chama cha PLO cha Yasser Arafat mwaka 1987 na walianzisha kwa lengo la divide and rule, Hezbollah ilianzishwa mwaka 1985 mara baada Israel kuivamia Lebanon sababu huko Lebanon kulikuwa na wanachama wa PLO.

1985 Hezbollah inakazaliwa hasa na Waislamu wa Kishia wakiwa na lengo la kuindoa Israel katika ardhi ya Lebanon.

Israel mpango wake yeye ni kujitanua kuchukua ardhi za wenzake "Great Israel" anachukua ardhi Palestina yote, Syria atamega, Saudia Aribia kufikia Maccah atamega, Jordan, Misri maeneo ya Sinai na Iràq. Akiwa kwenye mpango wa kutekeleza haya anataka kuiona Middle East ikiwa dhaifu, hakuna mtu wa kumuuliza wala kumkemea, kwaiyo leo utaona Iran anapigana na Israel basi kesho kutwa tarajia Israel atapiga na Turkey au Pakistan maana hawa ndiyo wanaonesha wananguvu za kijeshi kwa Waislamu.

Sisi Wakristo walituweza kwenye dini na ndiyo maana kwao tupo kama kondoo kwao.
 
Wayahudi waliaminishwa Taifa litalindwa milele
Wakawaita waliojiita wayahudi kutoka nje
Wakaahidiwa kupewa ardhi waliojichukulia kimabavu na serikali hiyo dhalim

Sasa wameona ukweli kuwa hawawezi kulindwa tena na hasara kubwa imewakuta.

Mabilionea na millionaires wameikimbia nchi ya Ahadi na kwenda kwenye nyingine ya Ahadi.

Hamas waliposhambulia tu Israel, wayahudi 5000 walikimbilia Cyprus na kuomba hifadhi

Baada ya Iran/ Israel war basi Wayahudi wengi sana wamekimbilia huko na hawatarudi tena Taifa Teule.

Na wengine wameenda Turkey
Tatizo ni ardhi sasa ndio wamewekewa vikwazo maana kwa hela zao wanataka wajitenge na kuhodhi eneo kubwa la ardhi ili baadae wajichukulie tena.

Lakini Cyprus na Turkey hawakubali ingawa Jews wamejaribu kuwapa hela wazawa wajiandikishe

Labda tuwape hifadhi au wanasemaje falasha hapo mlipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…