Wale ni Wayahudi wa kutengeneza, msikilizeni huyu mchungaji

So nchi gani haina ma Gay? so unataka wauliwe au wanyongwe?
Sawa nchi mbali mbali mashoga wapo hata Tanzania, Kenya n.k, lakini kwanini serikali ya kiyahudi ambayo inadai ile ardhi ni ya kwao kwa mujibu wa biblia na torati halau wakai huo huo serikali hio hio iutambue ushoga ambao unapingwa na biblia na torati? ndio maana mnaambiwa hio Israel ya mchng haipo...

Hata serikali ya Tanzania na nchi zingine zote wanapambana na matumizi ya dawa za kulevya lakini haimaanishi madawa hayapo mtaani na watu hawayatumii, madawa yapo na watumiaji wapo lakini serikali hazitambui madawa na zinapiga maruuku..

Kwanini serikali ya Israel iutambue ushoga? Israel shoga wapo hadi ofisi ya rais, wapo jeshini, wapo kwenye siasa n.k , kwanini serikali ya taifa teule kama mnavyodai wautambue ushoga hali ya kuwa biblia inasema Mungu anachukizwa sana sana na hio dhambi kiasi cha kuteremsha moto kutoka mbinguni ichome mji mzima kwa sababu ya dhambi hii... acheni unafiki ndugu zangu......
 
Nyani haoni kundule??? Waislamu wao ruksa kumdinya Mbuzi.Kondoo.Punda au Nguruwe hilo wewe hulioni kabisa !!
 

Attachments

  • 20250629_165814.jpg
    47.1 KB · Views: 15
  • 20250629_170029.jpg
    114.1 KB · Views: 12
  • 20250629_170754.jpg
    361.6 KB · Views: 16
Nyani haoni kundule??? Waislamu wao ruksa kumdinya Mbuzi.Kondoo.Punda au Nguruwe hilo wewe hulioni kabisa !!
nimekuuliza kwanini serikali ya Israel inautambua ushoga, huko mnapokwenda kwenye sherehe za matawi ushoga ni ruksa....
Hapa nani kazungumzia uislamu na ukristo? hapa tunasema kuhusu Israel,kwanini serikali itambue ushoga? mashoga wapo kila nchi lakini nchi nyingi hazikubali ushoga, kwanini Israel, watu watakatifu, watu wa Mungu wautambue ushoga?
 
Wabungo mkiambiwa ukweli huwa mnarukaruka kama maharage machenga ili kukwepa ukweli
 
Kwenye ukweli huwa mnaumia sana, muwe wavumilivu tu.

Hakuna cha no reforms wala ushoga, tupo bize na wanaume wa IRAN wakimuaabisha mzayuni
Ukweli upi sasa? Huyo aliesema ni nani? Mnachagua watu. Huyo ata Malawi tu hajulikani takataka. Ushoga upo kwenye ilani ya CCM. Wanalindwa na CCM na ndio maana wapo wengi CCM. Mtafuteni ayatollah atoke pangoni kwanza. Mmepigwa mpaka mmechakaa. Muiteni mtume alienyweshwa sumu na pisi ya kizayuni awasaidie😂
 
Nami Nimekuuliza kuwa kwa nini nchi za kiislamu ni halali kumdinya Mbuzi,Kondoo na NGURUWE wakati huo huo hapa kwetu ukipatikana unamdinya Mbuzi au Kondoo unafungwa miaka ya kutosha?
 
Nami Nimekuuliza kuwa kwa nini nchi za kiislamu ni halali kumdinya Mbuzi,Kondoo na NGURUWE wakati huo huo hapa kwetu ukipatikana unamdinya Mbuzi au Kondoo unafungwa miaka ya kutosha?
Nilishakuambia mimi sio muislamu, lakini kama huko ndiko eneo unaoa pa kujificha, niletee maandiko kwenye Quran, sio Sheikh alisema, sio muislamu alisema, kwamba ni halali kumdinya mbuzi?
 
Nilishakuambia mimi sio muislamu, lakini kama huko ndiko eneo unaoa pa kujificha, niletee maandiko kwenye Quran, sio Sheikh alisema, sio muislamu alisema, kwamba ni halali kumdinya mbuzi?
Kama siyo Muislamu kwa nini unaniomba maandiko kwenye Quran? Acha kujificha ficha wewe ni Mfuga Midevu na Majini tuambie kwa nini kudinya Wanyama kwenu ni halali?
 
Kama siyo Muislamu kwa nini unaniomba maandiko kwenye Quran? Acha kujificha ficha wewe ni Mfuga Midevu na Majini tuambie kwa nini kudinya Wanyama kwenu ni halali?
Nimekuuliza lete maandiko ya hio Quran inayosema kulala na mnyama ni halali mbona kitu simple sana...
Lete maandiko kwenye Quran yanayosema kulala na mbuzi ni halali...
 

Wazungu na mazayuni wamewaharibu,
 
Jews need their place to worship their God.
Kwani ardhi imeisha Israel nzima wakose pa kujenga eneo la ibada? Au ni kutafuta shari tu kwamba lazima usali pale pale? Yaani wana maeneo ya kujenga madanguro ya ushoga ila wanakosa eneo la kujenga synagogue?
 
Nimekuuliza lete maandiko ya hio Quran inayosema kulala na mnyama ni halali mbona kitu simple sana...
Lete maandiko kwenye Quran yanayosema kulala na mbuzi ni halali...
Kuna ugumu gani wewe kutuambia kwa nini ni halali kwenu kumdinya Mbuzi?? Na kama wewe unasema haimo kwenye Quran yenu sasa kwa nini ni Ruksa kwenu kundinya wanyama wewe unatakiwa utuambie siyo uniulize mimi ambaye si Mwislamu nikupe andiko la Quran!!!

Wewe utuambie kwa nini mnadinya wanyama?? Kwa nini mnakiuka haki za Wanyama. Na kama ni uongo hamlali na wanyama mtuambie!!! Rais wa Mamlaka ya Palestina hakukosea kuwaita nyie Mbwa!!!
 
Kuna ugumu gani wewe kutuambia kwa nini ni halali kwenu kumdinya Mbuzi?
Nilishakuambia mimi sio muislamu toka kitambo, mimi kupinga wanachofanyiwa Palestinians haimaanishi mimi ni muislamu, lakini bado umekazana kama zombie kuniita mfuga majini, sasa huko huko unapotaka kujificha nakufuata, nakuuliza kwamba lete mandiko kutoka kwenye Quran yanayoruhusu mwanaume kulala na mbuzi/kondoo, mapadre na kesi zao kuwafira watoto haimaanishi biblia inasema hivyo, usijitoe ufahamu lete maandiko kutoka kwenye Quran yanayohalalisha mtu kulala na mnyama..
 
Kwani ardhi imeisha Israel nzima wakose pa kujenga eneo la ibada? Au ni kutafuta shari tu kwamba lazima usali pale pale? Yaani wana maeneo ya kujenga madanguro ya ushoga ila wanakosa eneo la kujenga synagogue?
Hivi kwa nini wewe hujataka lile jiwe jeusi lenu litolewe huko Makka lijengwe Tanzania ambako tuna ardhi ya kutosha?
 
Acha ujinga mimi si Mfuga Majini mwenzako kama hilo unakiri halikuandikwa kwenye kitabu chenu swali linakuja kwa nini sasa kwenu kudinya Mbuzi na Kondoo kwenu ni halali??
 
Kwa nini ni rahisi WAKRISTO wa kiafrica kutoa sadaka kuliko wakristo wa mabara mengine?
 
Hivi kwa nini wewe hujataka lile jiwe jeusi lenu litolewe huko Makka lijengwe Tanzania ambako tuna ardhi ya kutosha?
Mimi ni mkristo so mambo ya jiwe siyajui kabisa. So jibuni hoja acheni kona kona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…