Wale tulioachana na Ma- X kwa ugomvi, ulimuonaje ulipokutana naye tena?

Mimi sijai kutana nae hata mmoja, uzuri na ubaya ma-ex wote ni wa mikoani nilikokua katika utafutaji, mkoa nilipo asaiv ni homeboy kabisa ila sikuaga na manzi na metulia nshaacha kusafiri safiri.
 
Daaah safi sana
 
Unaandika hadithi hapa kuwa ex kachakaa na yeye anahadithia huko kuwa umebadilika umekuwa kadingi hajaamini macho yake kama yule kijana handsome ndo huyu dingi anayemuona....

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom