Wale tulioachana na Ma- X kwa ugomvi, ulimuonaje ulipokutana naye tena?

Wale tulioachana na Ma- X kwa ugomvi, ulimuonaje ulipokutana naye tena?

Mmoja wa ex wangu alinipa mchongo wa kazi (baada ya kupoteza ya mwanzo ghafla)na kusimama kuhakikisha napata kazi ile.
Tunafanya kazi taasisi moja na nilipokwenda ktk huo mkoa alinipokea na tunaishi km ndugu hata kazini wanajua ni dada yangu na office mate mmoja aliwahi mwambia kuwa amenielewa sana. E.x akaniambia nikaruka futi 100. Japo hatupashi kiporo lkn nikiri wazi hapa kuwa bado ananionea wivu sana
Aiseeee kula uyo mate mwingine wewe
 
Dear exshi,, niko nafurahika na maisha yalinichapa wakati ule tunaonana ila haikupita muda nikaokota dodo[emoji7][emoji7][emoji7]ukishajua maisha ni kama kamari huwezi mfanyia dharau mtu yeyote awe mpenzi, ama vinginevyo, maisha yanabadilika mazee, zitizame hatua zako kesho yetu hatuijui utajionea aibu[emoji3577]
Kabisa mamii , nmefurahi kweli kuiona avatar yangu pendwa imerudi ,. Safi sana mamii
 
Aiseeee kula uyo mate mwingine wewe
Huyo office mate alishawahi nunua mashati 2 akampa dear X aniletee. Badala yake akatunza ndani baada ya miezi 6 ndio akanipa. Huyu namvutia kasi nimle bila dear X kujua. Sema tatizo lake akamwambia kila kitu dear X. Hata ukimsifia amependeza lzm akaseme
 
Huyo X ameolewa?
 
Back
Top Bottom