Wale tulioachana na Ma- X kwa ugomvi, ulimuonaje ulipokutana naye tena?

Kuna demu mmoja aliniacha kipindi na maliza chuo nikaamua kumbembeleza nikajaribu mpaka kwa dada yake na ndiye alikuwa demu wa kwanza mtaani.

Kila tukionana nikimsalimia hataki nikaona isiwe tabu tukapoteza kama miaka mitano, akawa kabadilika na kakonda sana nikamsalia labda nikazani kabadilika lkn wapi, sasa kuna siku tukakutana stationary, nikamwita nikamwambia hivi kwa nini nikusalimia huitikii mpaka tunanuniana akawa anaona aibu huku kainamisha sura, nikamwambia pamoja tumeachana, ila sisi ni binadamu tusijenge uadui kuna siku tutahitajiana kwani mama yake na mama yangu ni marafiki nika mwacha aendelee na mambo yake.

Ila mpaka sasa bado yupo vilevile na sasa hivi ana mtoto, halafu mdogo wake ni rafiki yangu sana na tunataniana sana ,basi huwaga na muacha aendelee na minuno yake ila mpaka sana sijaiona sababu ya kununa kwani kila mtu ana issues zake.
 
Baba mtoto since 2014 na mwanangu ana six years old now.Sitaki hata kumwona wala kusikia sauti yake...kawaje anajua yeye.Mimi ninachokumbuka ni kuwa mimba aliyoning'ang'aniza nitoe nishatoa.I swear,kwa moto ulionipitisha niwe mkweli sijawahi kuombea mema.
 
Mambo ya kishamba kununiana na maex...mi tukikutana ni storee kwa kwenda mbele, kama hatujawahi fanya kitu vile[emoji38][emoji38]

Ila wanaume lazima wakumbushie akili kumkichwa[emoji848]
 
Mambo ya kishamba kununiana na maex...mi tukikutana ni storee kwa kwenda mbele, kama hatujawahi fanya kitu vile[emoji38][emoji38]

Ila wanaume lazima wakumbushie akili kumkichwa[emoji848]
Ni kweli
 
😅😅😅😅
 
Duuuuh
 
Dear exshi,, niko nafurahika na maisha yalinichapa wakati ule tunaonana ila haikupita muda nikaokota dodo😍😍😍ukishajua maisha ni kama kamari huwezi mfanyia dharau mtu yeyote awe mpenzi, ama vinginevyo, maisha yanabadilika mazee, zitizame hatua zako kesho yetu hatuijui utajionea aibu✌️
 

Nimemkumbuka mwanangu asee kumbe mimba hukutoa nisamehe mpenz ni shetani tu...[emoji23]
 
Mmoja wa ex wangu alinipa mchongo wa kazi (baada ya kupoteza ya mwanzo ghafla)na kusimama kuhakikisha napata kazi ile.
Tunafanya kazi taasisi moja na nilipokwenda ktk huo mkoa alinipokea na tunaishi km ndugu hata kazini wanajua ni dada yangu na office mate mmoja aliwahi mwambia kuwa amenielewa sana. E.x akaniambia nikaruka futi 100. Japo hatupashi kiporo lkn nikiri wazi hapa kuwa bado ananionea wivu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…