Wale tuliokulia kwenye familia za kishua tukutane hapa

Maisha ya kishua ni yapi hapa bongo ya kuendesha hizi mitumba ya magari ya mjapani, au kuweka ligate la chuma la kusukuma, kuishi kwenye hizi nyumba zisio kua na Ac ndani, chakula chenyewe ndo nafaka hizi sembe Michele makande.....kusema ukweli sioni maisha ya ajabu hapa Tz, hapa TZ, Africa is the same na Africans are the same, isipo kua tunapishana tu mitizamo na vipao mbele, wote ni masikini tu but with varying degree of poverty, hamna mtu mwenye maisha ya kishua isipo kua ufisadi na showoff za kijinga.
 
Jambo ambalo mpaka Leo siwez kulisahau lilinitokea nikiwa naishi kwenye familia ya KISHUA ni nyumba ya wageni.

Mzee alikuwa amejenga nyumba Moja yenye vyumba vinne akaiita ya wageni ,mgeni yoyote akija lazima afikie kwenye hiyo nyumba,

Sasa basi wageni wakitoka Mama aliweka utaratibu tuwe tunaifanyia usafi hiyo nyumba japo Mzee alikuwa hatakj sisi tufanye usafi kwenye nyumba hiyo.

Siku Moja walikuja wageni nakumbuka walikuwa wamama watatu na wote walikuwa na watoto walileta watoto wao kwenye matibabu nafikir wakakaa wiki mbili wakaondoka ikawa zamu yangu kufanya usafi mule


Kwenda kufungua mlango wa nyumba nakuta wamekunya Mafi hovyo hovyo nyumba nzima inanuka mavi nikakausha jion Mzee anarudi nikamwambia kuanzia pale hatukufanya usafi tena kwenye Ile nyumba, na mm ikawa ndiyo mwanzo wa kuwaona masikin ni watu wa aina gan.
 

Ep 3 hii nipo hapa nasubili ya 4
 
Umeandika Kwa hisia sanaa....🤣🤣😂😂
Nimecheka sana hapo kwenye sembe ugali nafaka...🤣🤣🤣😂😂
 
Masikini JF dah!
 
Lete kisa mkuu,
 
Changamoto nyingine ya kukulia kwenye familia za KISHUA nikutojua kufanya kazi

Nina Dada yangu ameolewa mpaka Leo hajua kupika zaidi ya chips mme wake anaish kula chakula Cha wafanya kzi wa ndan.
 
Sikubaliani na hii hoja. Kuna maisha ya kishua, maisha ya kitajiri, maisha ya kati, maisha ya kimasikini na kuna makapuku. Labda na hao wa showoff sasa. Tena hapahapa bongo. Hussle had, mpaka watoto wako waitwe wa Kishua.
 
Ukiachana na panic kuna watu wanaishi
 
Una hasira!!!
Ukizeeka si utakua mchawi jamani [emoji2296]
 
Nakumbuka ilikuwa likizo mama akatupeleka kijijini wakaenda kuvuna Karanga sisi watoto wa KISHUA tukawa tunatembea tembea shamban na baskel zetu za watoto tukakuta wadudu tukaanza kuwachezea kumbe ni siafu acha watung'ate tulilia kilio Cha mbwa Koko haraka tukakimbizwa hospital

Kutoka huko Mzee akaamuru turudishwe nyumban likizo ikaishia hapo.
 
Mi kapuku ila niliwahi kushukia ushuani kwa wale ndugu wa kuungaunga

Ebwana madiko diko ya maana, ile naondoka nilipewa laki 4 kwa miaka hiyo ni pesa ya maana, ile pesa nilikuja kuanza nayo ujenzi

Nilichogundua ukitaka watoto wako waishi ushuani lazima uwatengenezee mzingira,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…