Wale tuliooa wanawake wafupi tujuane

Nimeshadeti na wafupi wa below 150cm zaidi ya 10 sijawahi kuona hilo tatizo. Na mke wangu ni mfupi miaka zaidi ya 20 sasa sijawahi kuona matatizo yaliyosemwa.

Tabia ya mtu haina uhusiano na kimo. Period...
Kuwa specific, hujawahi ona tatizo lipi? Utamu au wivu?
 
Mkuu, wanawake wafupi wana wivu ni haijawahi kutokea, sijui ni kwa sababu ya nini..
Ukimuoa muda wote ni battle juu ya mambo ya wivu wivu tu, mi nilikuwa hata nikisema naenda kuangalia UEFA, ananivizia nyuma nyuma kuona kama natongoza wanawake.
Ni vile wafupi hawajiamini wanajua utamwacha, pia wakorofi sana,
 
Wanawake wanaonewa sana na ndio maana wakitupata nasi hawatuachi
 
Nimeshadeti na wafupi wa below 150cm zaidi ya 10 sijawahi kuona hilo tatizo. Na mke wangu ni mfupi miaka zaidi ya 20 sasa sijawahi kuona matatizo yaliyosemwa.

Tabia ya mtu haina uhusiano na kimo. Period...
Kunywa bia popote ulipo
 
Mkuu nasikia wana vina vifupi ukigusa tu inagota ni kweli!?mimi binafsi na deal na wanawake warefu tu kuanzia mita 1.72 kupanda juu
 
Mkuu nasikia wana vina vifupi ukigusa tu inagota ni kweli!?mimi binafsi na deal na wanawake warefu tu kuanzia mita 1.72 kupanda juu
Unatembea na tape measure afu unawapima kwanza? Kwangu mimi 1.72m ni mfupi sana.... ndo maana nasema swala la urefu na ufupi linategemea "ntu na ntu"

Tuache kufananisha kimo na tabia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…