Wale tuliooa wanawake wafupi tujuane

Bora awe mfupi mnene..akiwa mfupi mwembamba..hao viumbe sijui hua hawajiamini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu, wanawake wafupi wana wivu ni haijawahi kutokea, sijui ni kwa sababu ya nini..
Ukimuoa muda wote ni battle juu ya mambo ya wivu wivu tu, mi nilikuwa hata nikisema naenda kuangalia UEFA, ananivizia nyuma nyuma kuona kama natongoza wanawake.

[emoji1787]
 
Mbona hujaniambia babu yako HAPPY NEW YEAR?

Bado nakupenda ujue...

Hiyo bia utailipia?
Sitaki kuamini kwenye list yangu haupo ohooo....

Kumbe babu ulikuwa unanipendaga😒ohooo

Nitailipia babu hakuna tatizo
 
Sitaki kuamini kwenye list yangu haupo ohooo....

Kumbe babu ulikuwa unanipendaga😒ohooo

Nitailipia babu hakuna tatizo
Kumbe kuna mtu alikudanganyaga kuwa sikupendagi?

Au wewe mwenyewe ulishindwaga kusomaga alama za nyakati?
 
Ila mimi nahisi nimelogwa nina wapenda sanaa usitake kujua na wapendea nn ila jua nawapenda mnoooh...wanasehemu yao peponi.
 
Wana kina kifupi, wana kiburi afu wapiga mizinga balaa...
 
Kumbe kuna mtu alikudanganyaga kuwa sikupendagi?

Au wewe mwenyewe ulishindwaga kusomaga alama za nyakati?
Hakuna mtu aliyenidanganya babu.matendo yanaongea zaidi😀😀

Nafikiri nilishindwa kuyasoma
 
Ufupi unaozungumziwa hapa ni kuanzia futi ngapi?
 
Hivi kumbe mizinga inaenda Na kimo ee...safi[emoji1534]
Ni balaa, vipi hujui hilo kumbe?! Vinapiga mizinga kimadharau sana utaskia "We mwanaume em nipe ka elfu kumi hapo nashida nacho" ukimwambia huna utaskia "Unaringia vijihela vyako hivyo, ka elfu kumi tu unaona nayo hela ya kunipa mpaka ujifikirie" [emoji23][emoji23]

Umenifanya nimkumbuke Rhoda aisee na wengine wafupi kama yeye ila ye alkua funga kazi..
 
Unaoaje mwanamke mfupi au unataka mchimba visima ??
 
Hiyo ilikuwa tabia yake lakini sio kwamba ni mfupi mkuu
 
Nmedate nao baadhi wana wivu hao sio kawaida, aliwahi fuma text alafu mimi sikujua hatukulala mpaka pakakucha na ndio ikawa mwanzo wa kuniacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…