Wale tulioomba ajira za muda za Tume Huru ya Uchaguzi tukutane hapa

Hizi ajira kipaumbele kingekua ni wale wasiokua na ajira graduates na form four to six leavers si watumishi wa serikali!
Kuna mambo huwa tuna feli Sana kama taifa!
Kazi nyeti kama hiyo unampa mtu kwasababu hana ajira? Atawajibishwa na nani incase akikosea? Huruma inaponza. Kuna kazi za kuwapa hao ila sio hizi za uandikishaji
 
Kama wapinzani wanawekwa rumande hata kwa makosa ya kusingiziwa sisi ccm tumekosa namba ya kuwawajibisha wazembe!!?
 
Sio kwenye vitu sensitive kama taarifa binafsi za watu! Uandikishwaji wa mpiga kura unahitaji umakini na usiri. Hao wengi mnaosema ni watoto sana unakuta mtu anaanza ku expose taarifa za wananchi kwa manufaa mabaya.

Acha taasisi ifanye inachoona kinafaa
 
Back
Top Bottom