Wale tulioomba ajira za muda za Tume Huru ya Uchaguzi tukutane hapa

Wale tulioomba ajira za muda za Tume Huru ya Uchaguzi tukutane hapa

Wale wote tulioomba ajira za muda katika Tume Huru ya Uchaguzi kwajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura huu ni uzi wetu.

Tupeane updates ya majina yatatoka lini?
Kwa mkoa wa tabora majina yametoka jana usaili utakuwa tar 11 kwa 12
 
Majina yaliyotoka mpaka sasa ni Kigoma, Tabora na Katavi ambako uandikishaji ndio unaanza tarehe 20 july.....mikoa mingine bado uandikishaji unafanyika kwa awamu sio kwa wakati mmoja.....baada ya mikoa hiyo itatangazwa mikoa inayofuata ndio majina yao yatatoka
 
Back
Top Bottom